@officialruby_: ⚖️ NERALABS CHECK! GAIN WEIGHT or LOSE WEIGHT? 🤔 Je unajua kuwa baadhi ya vyakula tunavyodhani vinaongeza uzito vinaweza kuwa sehemu ya mpango mzuri wa kupunguza uzito? Na baadhi ya vyakula tunavyovihusisha na kupunguza uzito vinaweza pia kuchangia kuongeza uzito kulingana na kiasi unachokula! Katika Neralabs Check ya leo, tunachambua vyakula mbalimbali na nafasi yake katika safari ya kudhibiti uzito. Kumbuka: Hakuna chakula kinachopunguza au kuongeza uzito kwa miujiza !! Kiasi maandalizi ya chakula na jumla ya kalori unazotumia kwa siku ndivyo vina umuhimu mkubwa. Wewe umeshangazwa na chakula gani? Tuambie kwenye comments! 👇 NERALABS — Health & Beauty. #NeralabsCheck #WeightManagement #HealthyEating #WeightLoss #nutritiontips