KWANZA:ULIYOELEZA YOTE C YA KWELI NA
WADIGO ASILI YAO NI SEYCHELLES
LKN UKWELI TANGA NI YAO NDIO WAMEIENDELEZA NA KUITANUA NA KUIPA UMAARUFU
2026-11-13 19:23:27
2
munyama1 :
hawa wote sio wakweli kwa nini wasitafute watu wanaojua vizuri zaidi na huyu nae ndio hana asili ya Tanga anaijuwaje tanga. anaielezea tanga kijuu juu kabisaa Wanondei sio kanila la kwanza kwa Tanga ni vizuri wakatafutwa wanaoijua Tanga vizuri sio sio porojo za sadiki nikisema.
hayo maneno nisipotumiq maneno mabaya naweza kusema ni upuuzi.
2026-11-13 12:03:37
2
one love :
Mabondei niwachache sana huwezi sema ndo wenye Tanga
2026-11-13 15:16:32
1
samurai eddy :
😂
2026-11-13 19:03:02
0
To see more videos from user @user6879579446102, please go to the Tikwm
homepage.