@shilastar.2: Dar es Salaam, maandalizi yamekamilika! Tarehe 4 Desemba 2026, tunakutana katika ukumbi wa THE SUPERDOME, MASAKI kwa usiku wa kipekee wa burudani, vicheko na mastory yasiyosahaulika. 🎟️ TIKETI ZINAPATIKANA SASA! REGULAR – TZS 50,000 VIP – TZS 100,000 VVIP TABLE – TZS 3,000,000 (Watu 6) 5 MILLION TABLE – TZS 5,000,000 (Watu 8) 📅 DATE: 04 DECEMBER 2026 ⏰ TIME: 18:30 – 23:00 📍 VENUE: THE SUPERDOME, MASAKI 🎫 KUNUNUA TIKETI: Tembelea BIO yangu, gusa link ya tiketi au ingia moja kwa moja kupitia: www.jumena_events.co.tz Huu ni zaidi ya show, ni uzoefu wa kipekee ambao utabaki kwenye kumbukumbu! WAHI TIKETI YAKO SASA! TUKUTANE 4 DECEMBER! 🔥 #KipindiIchoo #Shilastar #SuperdomeMasaki #December4th #LiveShow
Shilastar2
Region: TZ
Friday 13 November 2026 04:42:28 GMT
Music
Download
Comments
HEISBOB🏀🏀🔥 :
kwishaaaa😂
2026-11-13 07:38:47
5
Emanuel Mevaashi :
shilaah dah [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]🙌
2026-11-13 09:49:19
0
baba wawili :
aise mwanangu unajua sana
2026-11-13 15:07:40
1
user1140350269845 :
Noomaaaa
2026-11-13 18:57:17
0
Tom london :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]ila shiraaa mwanang nakubari kaka
2026-11-13 12:04:44
0
stella janda :
mnakitu mtafika mbali
2026-11-13 17:41:51
0
Meissen :
Nilikuaga nikisimama hivi kwenye school bus hautajuwa kama sijafanya homework 😂
2026-11-13 04:48:14
1
Erda Robert :
Ila shila jamani
2026-11-13 04:46:47
0
gwd1234 :
Nimejikuta nasikiliza mpaka mwisho
2026-11-13 13:09:05
0
mamscollection5 :
KIPINDI HICHOOOOO[Fire][Fire][Fire]
2026-11-13 04:45:33
0
seiphshaphyy :
hadi raaa
2026-11-13 13:14:42
0
Agustino Mmary :
oyoy
2026-11-13 08:25:57
0
Erick :
hatari sana
2026-11-13 06:03:03
0
luqman seif :
jamaa kama ingekuwa gari ya abiria ananipitisha kituo kabisa kwa story
2026-11-13 08:27:04
0
Nacke.godwin🫶🇹🇿 :
domo kaya vp
2026-11-13 05:55:07
0
ALEX GAU🎒⚽🫅🏾..... :
jua 🌝 kidogo nguo kukauka😂
jua 🌝 kidogo jasho kutoka
-nikisema jua🌝 tuitikie oyeeee👏🏾🙌🏾😂😂😂.'.
2026-11-13 08:14:33
1
wakuchongajr :
ila shila unavitu vingi makin kaka
2026-11-13 16:26:25
0
Mimi_Ndio_AI :
shila ww jau sana 🤣🤣🤣
2026-11-13 04:59:19
0
WAKISHUA BRAND :
Adui bishoo
2026-11-13 07:24:04
0
j tingo :
sema anamuandama blue
2026-11-13 19:04:49
0
kim_official :
Unaomba power bank umelala wap ww🤣🤣🤣🤣
2026-11-13 13:11:22
0
Da ruuh asili :
😂😂😂
2026-11-13 11:08:52
0
Shazmen Al-sultan :
😂😂😂
2026-11-13 06:06:29
0
IMMANUEL TZ :
.
2026-11-13 14:29:19
0
Azza :
[Laugh approved]🙌
2026-11-13 04:54:50
0
To see more videos from user @shilastar.2, please go to the Tikwm
homepage.