@sindano_show:

Sindano_Show
Sindano_Show
Open In TikTok:
Region: VN
Friday 13 November 2026 05:33:12 GMT
307
40
4
1

Music

Download

Comments

pochi_store0
Pochi Store :
That is very good idea brother..... watanzania wengi wanashindwa kusafiri ni kwasababu wanakosa exposure na maarifa kuhusu kusafiri, umezungumzia kwa mfano VIETNUM kuna bidhaaya bidhaa niliona mfanyabishara mmoja hapa Tz anazitoa kule and he make a lot kwasababu alisafiri na alipata Suppliers kule wazuri sana for a very good price
2026-11-13 05:48:12
2
officialrama_king
WAUKAE :
braza, unaujua mchakato wa kupata passport bongo? ni mgumu kiliko kusafiri
2026-11-13 05:44:35
1
mussaelikana949
Mussa Elikana :
tengeneza group kaka
2026-11-13 05:53:36
1
villaparksticker
VILLA PARK STICKER’S :
Kaka nyie mnawezaje kuenda mambele aise tusaidien na sisi michongo
2026-11-13 05:37:13
0
majidi.the.done.i
Majidi the DONE :
😊 Good
2026-11-13 05:39:52
1
mwittaconnect
mwitta connect :
tengeneza grup ilo kaka ,maana watu tuna ndoto kubwa za kusafli nchi mbali mbali
2026-11-13 06:21:00
0
j9953
Joy777 :
Vijana wengi hawana muamko mimi Nlikua napenda kusafir tokea nikiwa mdogo.Mpaka saivi najua mengi mno kuanzia kupanga safari,tickets etc.
2026-11-13 06:08:31
0
To see more videos from user @sindano_show, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About