kama bado hujapata rafik wa kichaga niko hapa Mchaga wa rombo 😁😁
2026-11-13 06:54:22
7
Hevenlight :
Wachaga wenzangu dondosha copa yako hapo
2026-11-13 07:30:32
4
maa g :
Tujuane wachaga❤️
2026-11-13 06:46:29
56
Kimaro 🇷🇼🇳🇦🇪🇹 :
We are the most awareness people and intelligent. give as our flowers 🌹🌺🌹🌺
2026-11-13 07:42:01
0
Jift Temba :
na sisi tuliopo mikoa mingne vp jaman
2026-11-13 06:51:02
5
BALENCIAG🏀 :
wachang wot on fir
2026-11-13 07:23:29
0
liz90 :
Ndo hvyoo📌proud to be a chagga
2026-11-13 07:15:55
0
it's 🦋Susan😘🌹 :
Wachagga wewe oyooooo...piga kelele kwa Wachagga...tutakujengea sanamu lako baba
2026-11-13 07:42:53
0
Kelvin Mtei :
wachagaa mpooo
2026-11-13 07:52:37
0
momo@g :
mwenye anataka Rafik I'm here on the way from moshi.... wachaga🥰🥰
2026-11-13 06:53:09
0
charybaby21 :
mwenye bado ajapata rafik wa kichaga karibu
2026-11-13 06:47:29
9
Peter Mathias Swai :
real fact 💯
2026-11-13 07:30:43
0
brenderlooks :
Uyo ni Mimi sikwepeshi😂😂😂🖐️
2026-11-13 06:49:13
8
mathatriza :
mchaga mkwel niko hap njoo sasa na uwe rafki wa kweli
2026-11-13 07:45:12
0
Boss lyimo 🤘 :
wachagga oe ☺️☺️☺️☺️☺️wachaga wanwake wana upendo na mapambano
2026-11-13 07:37:08
0
magoti :
asante kaka
2026-11-13 07:17:15
2
Nelly chuwa24 :
Desember hiyoooo sitak urafik na mtu tukutane januar 🧠
2026-11-13 07:36:33
0
Kaystore’s Kaystore’sMotor’s :
Kwa Hali hiyo ndugu zangu wachaga … watu wakiwa wana wazungumza basi kuna jambo wameliona , Nini cha kufanya … tu make sure tunashikana , tuna elewana , tuna pendant , tuna beans , tuna saidia … Yani kama ni kulia Tulie Pamoja kama ni kusherekea#Tubebane /tuchukuane , tukutane mjini tupeani fursa leongo ni kuinua na kuendeleza chaga Empire … na ikiwezekana siku moja waingie na passport Kilimanjaro ……. Hii inawausu wachaga wote … ulipata fursa tubebane haswaaaaa
2026-11-13 07:38:53
4
huckleberry :
me mchaga lkn sitaki usumbufu😂😂😂 niacheni December niende rombo kwa amani😂😁😁
2026-11-13 07:21:50
3
To see more videos from user @wachaga_family_community, please go to the Tikwm
homepage.