mama samahani sijuw nn shida ila kazi na utuu
tuoneane huruma tilokuwa chin
2026-11-13 08:11:32
28
user6183002473299 :
kwa vile mm naogopa ngombe naenda zangu kwenye gari 😂😂😂
2026-11-13 07:43:38
26
ALONE BUT HAPPY 🥰☠️💔 :
babu tupeni kazi dc
2026-11-13 17:06:26
1
Oman Alwafi :
ety kiongoz mwenyewe[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-13 09:43:32
1
Doggo t.t. :
aaa mm sitting neno
2026-11-13 10:52:43
0
lahid-001 :
Mtihani kwa kweli
2026-11-13 07:33:58
6
Hashim Wevu :
huku nungwi kuna shida ya umeme em njoeni huku mlitatue hili tatizo aiseee tumechokaa sasa
2026-11-13 18:09:35
5
aysel :
kwan ngombe wanasemaj😅
2026-11-13 08:23:59
2
suleshsulesh51 :
jaman km itatokea option ya kupga kura haihai awe mufti munambie au mchng wa kmnunilia shbaha pia mnambie
2026-11-13 20:15:13
1
Makame Ali :
wallah mm apo naapa namungu uhanisi huu huniletei wew dada hata siku moja ata kama wewe ni nani
2026-11-13 19:22:03
1
Muratty :
Mimi naomba Serikal wenyee magari ya Ngombee Nao kama wameruhusiwa kipindi hiki cha mwinyi uko barabaran na wao walipe kodi kama sisi vyombo vya moto maana nafasi ya gari la ngombe ninsawa sawa na gari za kawaida na wanatusababishia ajali kilaa mda mana ngombe ndo ngombee tu mie binafsi walinigongaa juzii wakachuna gari yangu nashuka nalalamika wananituka na mapangaa nyongani, sasa unakuta hata kamera wao haziwahusu
2026-11-13 13:23:23
3
abedi :
vizuri🥰😇😎😻
2026-11-13 19:34:01
1
Sula :
na mie naogopa ngombe natoka tiktok
2026-11-13 19:32:26
1
Saada :
Njooni n kwetu kwrr kw nyundo tushachoka kiongozi wanachota mchanga nkuiba ndizi kuku. Hatuna raha kiongozi
2026-11-13 14:10:49
2
Yussuf518 :
mim nimechoka kam alivyo chok muheshimiwa shekha 😂😂😂😂
loooooh
2026-11-13 11:55:26
3
Zanzibar hashim francophone🌍 :
wapeni kazi heyaaa vijana wataacha kufuga ngombe awooo
2026-11-13 18:48:31
1
Ali :
ila ukiw na pes
2026-11-13 17:27:01
1
Salum Haji :
💯
2026-11-13 19:22:29
1
machano :
cheo ni dhamana 😭
2026-11-13 12:01:59
2
Prince_kalleef :
na sio siri apa hamna kiongozi
2026-11-13 14:07:14
1
Prince_kalleef :
ila viongozi wengine duuh yani acha tu
2026-11-13 14:06:11
1
swtsherry :
jamani njoooni na fuoni kiembeni hatuna raha na ng'ombe jamani mazao yetu yote hatuna raha nayo
2026-11-13 13:16:02
1
kidebwa HAJI :
huu si uwajibikaji
2026-11-13 09:09:21
1
Abduli Rashid# Al madhrui :
ila kiongozi mashlllh 🥰 mzuri au naogp
2026-11-13 10:41:47
1
To see more videos from user @westa_unguja, please go to the Tikwm
homepage.