Nizalie hapo 🥹🥹🥹miaka mitatu down nikulea mtoto na mimba tu
2026-11-13 12:37:14
5
Mimah🌺♎️ :
Kweli kabisa
2026-11-13 07:09:20
1
AFYA YA UZAZI NI MTAJI-888 :
hakika umenena🥰
2026-11-13 13:08:06
1
Sonia dangote :
Ni kwer kbs
2026-11-13 18:08:56
0
Cute shuu❤️ :
mm niliambiwa ukikubari nikuowe nakupa mtaji kwavile tutakuwa pamoja jaman hapana nilikataa stak ujinga mm
2026-11-13 14:15:03
0
Veer diabetic :
nimezaa sio sababu yy aliniahid chochote Bali nilikuwa nimejiandaa kisaikolojua na nilikuwa nyumbn ya muda sababu ya ugonjwa wangu hivyo niliangalia tu mtu aliyekubali kunisaport katika Kila hatua na nashukuru nimempat maan tumeendelea kupitia changamoto na bad tuko pamoja tukishirikiana
2026-11-13 17:49:29
0
Remiahna German :
Mungu wetu hatusaidie sanaaa..ngj nisikilize kwanz🥰
2026-11-13 11:00:34
0
🦋Empress Meadow🧿 :
Kweli
2026-11-13 07:40:56
1
DermRhin :
Exactly
2026-11-13 08:00:48
0
Mohiny 2💕🥀💕........ :
fact
2026-11-13 08:07:54
0
j12345 :
2026-11-13 15:47:18
0
binti_ya_kristo :
Mm binafsi namshukur Mungu ahadi ya ndoa haijawah kuua ndoto yangu ni vile tuu hazijatimia zenyewe na bado naamn ipo siku zitatimia tuu Mungu na mida
2026-11-13 16:21:26
1
She's Faith :
Wanaume wanajua wanawake desperate na ndoa na wanawataka sana sababu wanajua chochote watafanya na hutoboi
2026-11-13 07:11:29
5
ilham_june :
Hiyo ya pili …. Wanawake weng wanajiamulia wala muda mwingne siyo ahadi
2026-11-13 09:14:26
0
vanillah :
mi ukiniambia nizalie nakujibu jibu ilooo utakimba mwenyew
2026-11-13 09:28:08
0
Dr.ray TIBA NA USHAURI :
Kwa wale ambao bado hamjafanya haya makosa msifanye hii nikweli asilimia 100%
2026-11-13 16:55:07
0
aiem..Mary🦋 :
🙌
2026-11-13 08:03:14
1
Zainabu Plumbing :
🙏🙏
2026-11-13 09:10:55
0
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm
homepage.