@ndaro_: PENYEWEEE MWAKA UJAOOOOO 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Ndaro
Ndaro
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 07:22:30 GMT
78766
10670
247
152

Music

Download

Comments

juma.polea
Juma Polea :
imagine mtu unamwamini unampa mda wako una mjali unaakikisha unamzingatia vizuri Kila asubuh lazim mkutane alaf anatokea anavunja uaminifu wako ona sasa mama isa WA mihogo Leo hajafungua sijui anajichukuliaje nitapata wapi mihogo mimi
2026-11-13 08:39:16
10
mazao.tz
Mazao Tz :
ndarooooo
2026-11-13 07:29:29
5
user2984955008173
Ndaro comedian🤣 :
wee nitole kelele 🌝🌝
2026-11-13 07:35:34
34
blay7897
𝗯𝗹𝗮𝘆 𝗧𝘇 ⛎ :
jamn naomben sapot yenu mi nimchekeshaji💯
2026-11-13 09:14:54
2
immar_msomi
Imma msomi :
hivi izo suti [Laugh approved]
2026-11-13 09:31:07
1
kenyancanadian8
STEVE SAFARI 🇨🇦 :
karibuni Canada kazi
2026-11-13 07:25:22
4
alifa.boy7
ALIFA BOY :
Kigoma finest
2026-11-13 07:27:17
5
tjwolf70
Tj wolf 4life70 :
Excuse zimekua nyingi kiongozi yani every year unasema next year he’ll no 😏
2026-11-13 08:54:46
0
mr.nigha15
INVISIBLE 💀🏴‍☠️☠️ :
10 /10 uhakika
2026-11-13 07:59:32
2
zainabuarafa
Zainabu Arafa :
bas uta nitumia lak moja
2026-11-13 07:24:36
7
erickmosses1
Erick official :
amina maana wengine tunaisgiaga kusema mwakani, lakini mwakan 1 unaisha , na unakuta hujatiniza malengo ,Mungu atukimbuke 🙏🙏
2026-11-13 07:34:17
10
breezydossantos
Breezy Dos santos🦴🦷 :
Oooh my gwadaaa😂😂
2026-11-13 09:06:42
0
venanceabdala
veeen :
[Laugh approved]penyew mwaka ujao
2026-11-13 08:31:28
0
sammy..hood
🥀 𝚁𝚘𝚗𝚒𝚊 ᥫ᭡ :
😂😂
2026-11-13 08:23:25
2
akaminkomediatz
Akaminko Media Tz :
mbn mapema sana unakata tamaaa wakati Bado siku kibaoooo kumaliza mwaka mkali🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-13 07:30:49
5
alpha1travellor
Alpha :
penyewe mwaka ujao😳😁🤣😂🤣
2026-11-13 07:53:23
3
beatrice.lemanga
Beatrice Lemanga :
Only God
2026-11-13 08:20:40
0
user9941581577804
user9941581577804 :
wa kwanza leo
2026-11-13 07:44:42
0
mabatiimaraoriginal1
LITTLE KING ✨🦁 :
Jamani dunia saivi inatisha leo asubuhi wakati naenda kazini nilipanda boda boda ili niwahi kazini kweli nilifika pale kazini na jioni wakati wa kurudi nikapanda gari ya daladala yani huwezi amini nimesha fika saizi nipo home nimetulia tu ndugu zangu
2026-11-13 08:12:02
11
abuumtronic
𝑨𝑩𝑼𝑼 𝑴-𝑻𝑹𝑶𝑵𝑰𝑪 📱 :
only god
2026-11-13 07:58:58
1
mboni.thobias
mboni thobias :
very nice
2026-11-13 07:27:32
1
muh_jungle
£|'_bugatti.👑 :
mwaka uloisha ukawe wa mafanikio inshaallah
2026-11-13 08:36:14
1
ericktz63
𝗘̀𝗥𝗜𝗖𝗞 :
Tunamshukuru mungu kwa kuwa tunaumaliza mwaka salama. hatujafanikiwa bado, lakini ametupa afya njema ya kupambania mafanikio. 🙏✨
2026-11-13 09:23:17
1
kwazulunatal45
ZULU💥 :
kwel umetushangaza 😅
2026-11-13 07:26:15
2
sylvester.almasi
Sylvester Almasi :
only God ,no body else
2026-11-13 07:50:05
1
To see more videos from user @ndaro_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About