@mt.rita_wa_casia: Ee Mungu Mwenyezi uliyekufa Msalabani kwa ajili ya dhambi zangu, uwe nami Msalaba Mtakatifu wa Yesu - unihurumie Msalaba Mtakatifu wa Yesu - uwe mkingaji wangu Msalaba Mtakatifu wa Yesu - uniondolee maumivu yote Msalaba Mtakatifu wa Yesu - uniondolee uovu wote Msalaba Mtakatifu wa Yesu - nifanye nienende kwenye wokovu Unikinge na ajali za mwili, uniondolee hatari ya kifo cha ghafla. Nauabudu Msalaba Mtakatifu wa Yesu Kristo wa Nazareti, uliyesulubiwa, unihurumie, unifanye kuondokana na roho ya uovu wakati wote, ee Mama wa Msaada wa Daima, naja mbele ya picha yako Takatifu na kuomba msaada wako kama mtoto. Jionyeshe sasa kwangu kwamba u mama, unionee huruma. Ee Mama mpenzi wa Msaada wa Daima kwa ajili ya upendo uliokuwa nao kwa Yesu na kwa heshima ya majeraha yake Matakatifu, unisaidie haja yangu (Taja). Ee Mama Mpendevu, ninayaacha yote kwako kwa jina la Baba, ninayaacha yote kwako kwa jina la Mwana, ninayaacha yote kwako kwa jina la Roho Mtakatifu. Amina. #prayer #powerfulprayers #catholicfaith #relatable #tiktoktanzania🇹🇿

Mt. Rita wa casia
Mt. Rita wa casia
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 07:55:21 GMT
13287
922
69
47

Music

Download

Comments

miss.sara4305
Sarah Royal collections🥰🥰 :
Amina
2026-11-14 04:08:48
3
cutebudie
Angelina Mutahiwa :
Amina.[Pray][Pray]
2026-11-13 15:39:40
1
nidgar.kideule
Nidgar Kideule :
Tegemeo langu ni wewe Mungu...
2026-11-13 10:28:18
4
dorismnywiga2
Dorin mnywiga :
uwenaminee yesu🥰
2026-11-13 18:32:06
2
rosesebastian315
rosesebastian315 :
Mungu naomba mwisho mwema Ameni
2026-11-13 16:44:11
2
elizabeth.bonifac934
Elizabeth Boniface :
wwe ndio tegemeo langu eee bwana
2026-11-13 17:06:54
2
neyreev13
Neyree💞💞 :
Aminaa
2026-11-13 14:03:34
2
kahindo.christel6
kahindo Christel :
ami
2026-11-13 19:54:47
1
cecly.jancly.merl
mandaryne cycy :
amen 🙏
2026-11-13 21:19:29
1
secilia.nyimbo
Secilia Nyimbo :
amina ee mungu tumaini langu naomba uniponye
2026-11-13 11:20:43
1
user305746584569
user305746584569 :
Amina 🙏🙏🙏
2026-11-14 04:49:13
1
joyce.joy055
Joyce lomalisa :
Amina
2026-11-13 08:04:46
3
cany7805
cany :
amina
2026-11-13 11:24:02
1
roda43160
roda :
Amina
2026-11-13 10:18:29
1
hunter.bc0
BARAKA BC :
Amina
2026-11-13 11:50:49
2
farajamlowe
comforty :
amina
2026-11-13 10:48:27
1
user21254733408100
user21254733408100 :
Amina
2026-11-13 09:27:44
1
user7843458804162
Agatha santos :
amina🙏
2026-11-13 08:34:50
1
adella.mtambo
Adella Mtambo :
yesu uniponye
2026-11-13 14:55:15
1
masetomnganzagala
Dorie2 :
Amina were ndio msaada wangu
2026-11-14 04:40:28
1
clemensia.chapaka
Clemensia Chapakazi :
2026-11-14 03:15:06
0
aacidmwalingo
Acid Mwalingo :
Amina
2026-11-14 01:17:18
0
cathymashi234
Cathy :
AMINA
2026-11-14 01:07:44
0
fukano6
Babalao macherehani :
amina
2026-11-13 21:35:06
0
veronica.adrian46
Veronica adrian :
Amina
2026-11-13 11:31:39
0
To see more videos from user @mt.rita_wa_casia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About