@corporatejunkie: Tunazungumzia umuhimu wa kuwa na confidence na bidhaa yako, kusimamia ahadi ulizotoa, na jinsi uaminifu unavyoweza kukusaidia kuvutia wateja zaidi kuliko bidhaa bora. Tunaangazia jinsi mteja aliyeridhika anavyoweza kutoa reference nzuri, na jinsi kujenga jina lako kwenye soko kunavyokuwa muhimu kwa biashara ndogo. #lifeofacorporatejunkie #masomo #tanzaniantiktok🇹🇿 #biashara
Naam, ni sawa kabisa.
Ni suala la imani kwa mlaji toka kwa mtoa huduma. Ni jinsi gani utagusa hisia za mlaji/mnunuzi..
Je, utamuondolea maumivu au changamoto zinazomsibu au inawezekana kumkabili
Ufanisi wa kile atakachokipata (huduma / bidhaa) yako
Je, utamkidhi ndani ya matarajio yake!
Je, Unaweza kumthibitishia
Je, upo tayari kumsikiliza na kumpa majibu sahihi iwapo atahitaji ufafanuzi zaidi kwa wakati (Mawasiliano ni muhimu sana) atajisikia ni sehemu yako/kampuni..
2026-11-13 15:10:11
2
elite_bob :
customer experience
2026-11-13 10:42:02
1
KKAM MLOWO :
brother thanks 🙏
2026-11-14 15:39:18
1
_rosemary40 :
napenda ushauri wako mungu akubariki
2026-11-13 15:22:32
1
Plove 💕 :
True 💯
2026-11-13 11:48:19
1
fatyguddan :
Asante kwa ushauri wako muzuri uncle 👌
2026-11-13 10:18:14
1
I'm :
nimekuelewa
2026-11-13 10:09:44
1
celestinmusafiri26 :
unaeleweka asante
2026-11-13 09:18:36
1
To see more videos from user @corporatejunkie, please go to the Tikwm
homepage.