shida co serekali au hawana pesa au hakuna watu wenyenye uwezo wa ku develop iyo system hakuna, shida ni rushwa walaji wengii
2026-11-13 12:56:06
17
father m :
safi sana unaongea haraka nitaweka sim chaj maana kesho amna umeme waya ya
mwaka1990 inafanyiwa marekebishi
2026-11-13 18:47:05
5
Salum salim :
nimejitahid kukusikiliza nilichoelewa ni zanzibar tu😁
2026-11-13 15:18:18
5
Muslih Abuu :
Kwani Jamani Bum ndio nini nauliza Si kwa ubaya Lakini
2026-11-13 20:37:53
2
Diya kambanga :
madevlper wap bongo
2026-11-13 17:51:11
0
Ibrahim Ali :
mbna hakuna ukweli hapa kwenye hayo maelezo yako
2026-11-13 14:40:53
2
Bussiness :
Boom ni nini Jamani
2026-11-13 13:43:42
3
shakirikombo :
mbn una sign online
2026-11-13 18:56:57
0
manga :
Mfumo wa sasa hv ni maconection tuu
2026-11-13 13:47:38
5
elshirazian :
[Tears of joy]Someni mmalize tushaongea sana mpka tumemaliza lkn hamna changes
2026-11-14 05:14:54
0
Ottoman♎ :
Shida developer mwenyewe mpaka awe na kitambulisho cha mzanzibari....
2026-11-13 20:04:06
1
🥀Miss Anjoury🥀 :
Subirin msijal me na shemeji yen tunasomea ay mamb😂😂💔, soon tunatengenez mifumo mpk ya kuzuia kukatika kw umeme😌🤦♀️
2026-11-13 20:13:25
3
sule de zanzibar :
Sio Hilo tu na vipi Kuhusu Umeme?
2026-11-13 11:26:36
6
yussuf omar :
Kaka madeveloper tupo Ila wanatukataaa mm washafika mpka kutaka kuniuwa nilitengeza mfumo wa makusanyo ya kod Zra pale wakanikataaa na kutaka mpka kunitoa roho sina iman Tena serekal yangu
2026-11-14 07:04:49
1
MADEGREE MOBILE STORE :
Ilo uhakika bro 💯💯
2026-11-14 06:09:20
1
🥰🤭🤗 :
So kam madeveloper hatupo shida nchi yet inaangalia sana ujumaa na sio ujuzi na kipaji alichokuw nacho mtu
2026-11-14 04:17:50
1
Saeed_. :
Uo ni mfumo ambao bado unafanyiwa kazi na ada mbona inalipwa direct kutok bodi kwenda chuo
2026-11-13 13:01:42
4
Sadric Ajjam :
Wasomi hi 👋
2026-11-13 12:49:34
4
Sarafina :
Ndugu yangu.nimekupenda bure ...sasa sikiliza kesho tukijaliwa Tarehe 14/11/2026 Uwanja wa mau kuna event itafanyika inaitwa MKONO KWA MKONO....event hii inahusiana masuala ya usafi ila kunakuwa audiences ambao hupata nafasi ya kuuliza masuala mbali mbali yakiwemo ya ELIMU.vijana hiliza direct na wahusika wizara mbali mbali wapo watatakiwa kujibu Muheshimiwa Rais atakuwepo online fika kesho. uwanja wa Mpira Mau sas 2:00 asubuhi njoo na hii kadhiya yako tena harakaaa
2026-11-13 16:54:39
1
N💕 :
Muhim tunasaini😂
2026-11-13 19:37:34
1
wacastry :
Shukuru linaingia lkn
2026-11-13 18:43:43
1
senzo :
STUPID GOVERNMENT
2026-11-13 13:40:27
2
To see more videos from user @areef_019, please go to the Tikwm
homepage.