Hakika haya maneno watu wengi tulitamani kuyasikia mapema ALLAH akubariki broh
2026-11-14 04:55:10
30
cute misha :
amin allah atupe mwisho mwema🙏
2026-11-13 14:16:13
6
master 2021 :
hakik mungu akubarik kak
2026-11-13 12:53:37
28
Hassan Pyallah :
Hakika kak umeongea maneno mazito vijana tunajisahau san
2026-11-13 12:41:43
2
Chifu Shabani :
Akika
2026-11-13 11:59:32
2
Daxx Boxing🥊 :
maneno mazuri Allah atuongoze tufate maneno ya mtumme wetu Muhammed SWS tusivae gold wakiume kama mtumme alivyoelekeza ni kwa ajili ya wanawake tuendelee kuongozana taratibu inshallah tufate maelekezo
2026-11-13 21:07:24
6
sirajul-Rahmaan🇪🇭 :
mungu akubariki sana
2026-11-13 13:44:07
0
iddi ismaili :
kabisa kak 🤲
2026-11-13 15:00:30
0
TARIQ ARABI 456 :
MASHALLAH
2026-11-13 08:34:46
0
Bg Bruno ✌️ :
mashallah maneno y busara kabisa
2026-11-14 12:01:55
2
@dullah9297 :
Asante kaka allah atakujaria umegusa maisha ya wengi sana
2026-11-14 14:25:21
1
Nuuh♥️ :
crush 🥰
2026-11-13 11:22:35
2
Umar👳🏽♂️ :
Apo soon kaka nakuja nishamuomba sana allah kwenye tahajjud najua soon atanipa
2026-11-14 17:12:02
1
Mr real♟️ :
Amin kaka mungu aendelee kukuongoza kwenye kila yaliyo mema
2026-11-15 06:47:47
1
@ prince kijuzuu-🧿🇬🇧🧿 :
Amin yarwab kwa waislam wote inshallh
2026-11-13 19:20:06
1
mř ɓṛøķėñ :
maneno ya hekima kabisa haya
2026-11-14 12:21:22
1
itz_qubanda.504 :
Uhakuka broo
2026-11-14 18:12:13
1
D XL :
Mashallah
2026-11-14 12:07:33
1
Black Rich :
Ameni ameni kaka umeongea good pwent broo.
2026-11-13 12:11:13
0
user9540767615003 :
Amina inshaallah kaka
2026-11-13 14:34:14
0
Dalali Mtoto :
Mungu akujale afyanjema naliziziki kubwa
2026-11-13 10:22:23
1
Nigel waalid :
kabisa kaka Allah Akujalie kutupa moyo
2026-11-13 19:59:11
1
alkindy :
maneno yako matam sana ya akili sana mungu akubariki sana
2026-11-13 20:15:47
1
Trove Guy🌟 :
Swala ni muhimu kuliko kula waislam tu mswalie mtume
2026-11-13 17:44:03
1
young-SIMBA🦁 :
Amen
2026-11-13 11:02:51
0
To see more videos from user @msomalinanasi, please go to the Tikwm
homepage.