mimi tulienda MPK ustawi wa jamii lkn wapiiii sasa hivi nalea wanangu peke yangu miaka 3 nilichokifanya nilibadilisha majina mimi ya watoto wangu wote huwa ujinga stakagi kbsaa
2026-11-13 17:44:42
4
Malkia beauty point :
Traditional ipo tutadili nae huko ‘maana sheria haitambui mambo mambo ya traditional😂😂😂
2026-11-13 12:38:41
5
Aria Faith :
cha msingi mtoto anajua analelewa na mzazi mmoja inatosha
2026-11-13 13:47:02
8
penina :
mi wangu nitamlea kwa mapenzi mema na kama mzazi akitaka ahudumie akitaka aache
2026-11-14 12:02:15
3
zakiahassani975 :
Sawa ndo naaza safali
2026-11-13 18:12:36
1
Jamila Abdul Olomi :
je kama tuliachana mahakaman na akaambiwa atunze watt na hakutunza kwa kipind chote Cha miaka 5
2026-11-13 10:43:40
3
ty :
haya mie alitunza mtoto kwa mwaka mmoja na nusu Kila mwezi 100,000 baada ya kuolewa kwingine aliacha kutoa matumiz takriban mwaka wa 9 Sasa bila tumiz lolote je napaswa kumshitaki though walisema wanafanya hivyo kusudi wanikomeshe kisa nimeolewa kwingine
2026-11-14 06:01:17
0
nyonyo37 :
naomba niulize baba anaweza kupewa mtoto wa miaka 2 kulea na anasema hataki kumtunza ila anataka nayy akaenae,
2026-11-14 12:49:30
0
moswaga_tz :
umenisanua jambo
2026-11-13 09:22:54
0
Betty :
Ila sina muda wa kuparangana huko mahakamani Mungu ndie mtoa riziki,Labda niende jeshini tu kwa ajili ya kumdhalilisha tu😂sio kwamba nmeshindwa kumlea mwanangu
2026-11-14 11:26:26
1
Engineer mussa :
Asante kwa kutupa elimu nawatato 13 tofaut tofauti
2026-11-13 11:57:09
1
fetty-muu :
mungu akijua ukweri inatosha wallah haitaji kuchukua nguvu na karma haijawahi muacha mtu salama
2026-11-16 22:20:00
0
Blessed Girl 🏹 :
unaanzia wapi
2026-11-13 12:16:51
1
Saa2 TZ :
naomba kuuliza kiongozi hivi Kuna Sheria gani ya kumtolea pesa mtoto ambae umezaa na mwanamke ambae hujamuoa na hauwishinae lakini mtoto unamuhudumia maana naona uwanda wa kaskazini Wana hayo mambo.
2026-11-13 18:10:20
0
Maumau march Mwana wa adamu :
kwann unadai ili iwe nn
2026-11-14 09:01:03
0
Irene012 :
Sasa madam mie baba wa mtoto wangu hataki kutunza huyu mtoto
2026-11-14 12:53:26
0
Mr :
Umetisha sana kweny kutunza ushahidi ☝️
2026-11-14 10:37:43
0
Nyarubanja :
asanteeeeee
2026-11-13 18:56:02
0
𝑀𝐵𝐼𝑆𝐻𝐼 𝐽𝑅⛑️ :
dada unapatikana wapi nisaidie mm
2026-11-13 12:29:02
0
YO :
laws to the street
2026-11-13 10:38:40
0
Aalyah diva :
sjafunganae ndoa tumezaa mtoto mmoja na tumeachana mtoto nalea mwenyewe haudumii nianzie wapi nataka ahudumiwe mtoto ana mwaka mmoja sasa
2026-11-17 19:07:17
0
user7696698231714 :
nakupataje dada mzurii Kwa ushauri
2026-11-13 13:26:57
0
Uheri :
asante
mie sina hata watoto ninao na talaka sidai tayari nina mimba ya mtu mwingine na nimehama nchi
2026-11-13 12:15:59
0
litha🥰 :
yani mi siwezi sijisumbua kuomba fidia Bibi yangu bado yupo hai😂😂
2026-11-13 16:17:06
1
GODFREY_MBUMI :
naku dm hujibu
2026-11-13 10:02:34
0
To see more videos from user @msbippaofficial, please go to the Tikwm
homepage.