@paziatv: Ukiwa Mtumishi wa MUNGU utatafuta kitu cha kufanya ibadani, Sio kile ulichokizoea uwe mtu wa sound, media, muimbaji Lazima utafute cha kufanya ibadani @pastor_josiahtz - M-TAG mtu Mmoja anayehudumu kanisani asikie ujumbe huu. Follow @paziatv @johnpazia