nchi yetu haina ukanda udini wala ukabila ni sawa tu hata akitoka mtu mbinguni anagombea
2026-11-13 13:49:59
0
Keys :
Wote ni wa Tanzania, Rais akitoka kokote ni sawa
2026-11-13 12:12:16
0
F B I ☠️ 26 :
Uko sahihi
2026-11-13 15:21:30
0
Baraka Mbise :
ntaongoza, ata Mimi siyo mzanzbar tena
2026-11-13 14:32:11
0
Chaz Mayunga :
vp zanzibar kuwa rais wabara
2026-11-13 15:00:37
0
user8553036593099 :
sasa kuna ubaya gani mbona mwinyi.kawa rais zanzibar, mwanawe hussein kawa rais wa zanzibar jumbe kawa rais wa zanzibar wote hawa ni watanganyika na wameongoza zanzibar
2026-11-13 14:33:05
0
bajanja74 :
ss zanzibar ndio maraisi wa Tanzania milele
2026-11-13 17:37:28
0
Hussein Suarez :
Na hicho ndio tunachokiomba inshaAllh
2026-11-13 17:35:04
0
wambi 05 :
Ok acha nijipange nagombania uraisi
2026-11-13 15:51:46
0
Ng’eni 99$$ :
Sio tatizo lolote Rais kutoka Znz hata mara 5 mfulululizo
2026-11-13 11:19:19
0
To see more videos from user @knews24.media, please go to the Tikwm
homepage.