@u.s.e.r.i1: #CapCut #tanzaniantiktok🇹🇿 #creatorsearchinsights #views #virlvideo

𝘂𝗻𝗸𝗻𝗼𝘄𝗻_Vibes🪰🌴
𝘂𝗻𝗸𝗻𝗼𝘄𝗻_Vibes🪰🌴
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 10:22:24 GMT
151888
7162
212
2576

Music

Download

Comments

zulfa.angerousi
Zuuh🦋💕 :
nikikaa kimya ujue natafuta sababu yakuanzisha ugomvi😅😂😂
2026-11-13 11:25:55
138
luvvieslovely
Lovely16 :
😂😂😂Sijui kwann hawaamini siku hiyo umeamua tu kunyamaza
2026-11-13 13:10:42
51
rebby6702
Rebby 🍫💋 :
Me mume wangu akiona nimekaa kimya hivyo anauliza una hela Leo 😂😂
2026-11-13 12:32:57
38
elizabethallen546
Elizabeth🇹🇿 :
😂😂 na hivi natemaga moto kama dragon wa Merlin lazima aulize 😂😆
2026-11-13 12:18:47
54
crazy_efootball00
Crazy_Efootball001 :
Mama kama nimekosa naomba msamaha ,, leo napika, naosha vyomboo na sitaichapa 😂
2026-11-13 14:15:05
15
s.a.m.a.h63
S.a.m.a.h :
mm anajuag naumwa[Laugh approved]
2026-11-13 13:33:43
1
lainesbenedicto
Laine's Benedicto :
me siku niliyo acha kuongea ndo siku niliyoanza kumuacha taratibu arudi simuulizi aje saa8 simuulizi aache hela ya matumizi asiache simuulizi nakuja kusema basi anajua ndo naanza labda atafute njia ya kutengeneza kumbe namalizia hakuamini sisi tukichoka bana sio poa🙌🙌
2026-11-13 18:18:04
7
salma073_
Salma💕 :
hawanaga amani mpaka tuongee[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-13 12:41:40
4
wema141
wema141 :
umejuaje jana kanikuta nimetulia zangu sio kawaida yangu akaniuliza unaumwaa nikajibu Niko poa siumwi akasema sio kawaida yako🤣🤣🤣 maan nikianza kuongea Hadi napitiwa nausingizi
2026-11-13 14:07:45
5
husna00137
husna feisal🫀📌 :
Ila huyu wangu ad kuna namuuliza unanivumilia sana anaishia kucheka😂
2026-11-13 12:02:54
20
vee.joseph34
Vaileth✨🤍 :
Huyu ni mimi kabs😂😂
2026-11-13 11:03:27
5
mirrywamoresh
Forever♾️couple♥️ :
Wengine tukikaa kmy tunaombwa msamaha anajua hapo ndo kaharibu bora niongee😂😂
2026-11-13 14:18:15
23
phybac
de phybac :
Kuna siku nmepelekwa hospital kupimwa et labda naumwa kisa sijalalamika asubuh ad jion[Tears of joy]
2026-11-13 13:31:42
15
dididija57
Didi Dijaa🦋🌸 :
Me nikikaa kimy anajua kun mahli kaharibu😂 kumbe wal kun mda sijiskii kuongea
2026-11-13 16:22:08
9
vairethfred2
vairethfred :
mi wangu ananiulizaga unashida Gani kwani uku ananivuta vuta mana nikiongea anasema kila siku kelele sipendi amani nikinyamaza anasema mbona umevuta mdomo unashida Gani jamani ndonashindwaga kumuelewa uyu wangu
2026-11-13 13:16:38
9
mbishij
#mbishiJ :
wangu aliniuliza kwani una mpango gani usiku wa leo yani funguka unataka kunifanyia nini sjakuzoea ivo huo upole leo umeutoa wapi nlicheka mjue[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-13 19:41:24
1
herieth938
Herieth93 :
nd mme wangu kabisa😂😂😂😂😂😂 atanosumbua mpaka niongeee
2026-11-13 11:42:36
8
trudyqueen1
Trudy Queen💕🦋 :
2026-11-14 06:57:03
0
hajra.miraji
Sabreen💜 :
🤣🤣🤣🤣Mi so mpenz at malafik Zang nikiwa kimya wanajua sipo saw
2026-11-13 16:42:55
0
beautyaisha6
aisha beuty@ :
mshaanza tena huyo nimimi namume wangu ila watu🤣🤣🤣🤣
2026-11-14 05:15:17
3
boss.lady4521
kanana 🥰🥰 :
wangu pia ety mapya boss wangu kumbe kanizoea vimbaya ananichokoza alafu anatoroka online🤣🤣
2026-11-14 03:58:17
1
official.mii6
official mii🕊 :
hapo kuna mambo haya ✌️
2026-11-13 20:16:17
1
rayzollow
🌸REMII🌸 :
kama jay wangu jmn😂😂😂
2026-11-13 19:41:59
0
travisfaustine
Travis Faustine :
nikiwa kimya ni kama hua anateseka sana walai😂😂
2026-11-13 15:35:54
3
dia502957
dia :
tabia zangu izo😅
2026-11-13 12:35:34
3
To see more videos from user @u.s.e.r.i1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About