Nikuambie Mungu anakusudi na wewe.
kumbuka wewe ni Lango...uko sahii pambana mpaka mwisho na Wala usije jitamkia negative...Utakuja piga pesa mpaka utashangaa...
2026-11-14 15:13:42
1
Debby :
nimecheka eti siendelei hahaaa
2026-11-14 18:42:14
0
yunusi chegeka :
😛😛😛😛😛tukaze tu asa tutafanyaje
2026-11-14 09:58:53
1
mama ngindula :
😂 Mimi ni second born ila wanitoe
2026-11-14 18:47:50
0
JENNIFER LEONARD :
Hahaha
2026-11-14 19:12:06
0
BABA NASRI :
kaza mwamba
2026-11-14 07:46:10
1
Ummy msami :
na we hutaki kuwa firstborn au
2026-11-14 17:13:33
0
salha bint Ally :
ma fistborn tunatafuta laana 😂😂😂
2026-11-14 17:28:18
0
Aysher Tajiri :
Mnitoeee😂😂
2026-11-14 16:15:12
0
gingilanyi04 :
milima ya uluguru imeharibiwa kabisa. dah
2026-11-14 16:08:49
0
4Wivesin1 :
jitulize tu mwenetu😅
2026-11-14 13:08:39
0
user3607270729279 :
hahahah kaz tunayo
2026-11-14 14:09:10
0
Vincent sembe :
😂😂😂 hii noma
2026-11-14 13:48:27
0
MARY SMITH :
Hey
2026-11-14 13:37:24
0
Halima Wakhalid :
jaman
2026-11-14 12:27:15
0
Salma Hussen :
2026-11-14 14:40:36
0
user3555791813740 :
haaaaaaaaa
2026-11-14 19:16:47
0
Onefocus Clearpicture :
😂
2026-11-14 13:06:15
0
mama leah💯 :
mi jina lake tu sijamuelewa anavyo litamka
2026-11-14 07:38:18
0
alijah :
Huyu ni Essau wa pili sasa
2026-11-14 15:57:46
0
ernest hazard10 :
naunga mkonyo hoja😅😅😅
2026-11-14 11:18:56
1
Ba arapha :
iyo nafasi tunaiita Namba 8 ..... unashuka kukaba na unapanda kushambulia kudadeki 😁😁😁 ndio nipo mm saiv japo sio wa kwanza ila kiungo yetu ya Familia imekata na mshambuliaji hamna kaz 😁😁😁
2026-11-14 15:57:05
0
Sarah thomas :
🤣🤣🤣
2026-11-13 17:59:28
0
To see more videos from user @morogoro59, please go to the Tikwm
homepage.