m nakuwa nachoka na haya mambooooo kila sk nyinyi tu ahhh alooo
2026-11-13 11:38:15
1
mrs m :
Sasa ataiyo tarehe 14 haijafika umeme ushazimwa tangu Jana mpka leyo please mtuwashe umemem utapata tabu wegne tuna wagonjwa
2026-11-13 11:59:24
0
H20 :
Yani hawa asa wanatufanya wehu mara zanzibar itakuwa na umeme wake leo mnasema nd kwnza mnataka kureebsha waya kw kwl tutakuwa na utumwa wa umeme milele
2026-11-13 11:56:09
0
⚡ 𝐀𝐥𝐛𝐞𝐫𝐭𝐨 👑 :
uwongo tu
2026-11-13 11:58:56
0
MJA WA ALLAH :
asante umeongea kiswahili kizuri ...tumekuelewa
2026-11-13 11:39:57
0
Quran 🙏 :
sheri ziko open 💪💪
2026-11-13 11:52:25
0
Saleh Seif :
hata mkizima wiki sawa tu
2026-11-13 11:39:18
0
Keys :
Ongezeni Waya nyengine baharini, znz imekua sana tunahitaji umeme mwingi zaidi
2026-11-13 11:44:58
0
juma ndie huyu wakweli :
je pemba umeme mdogo mwatutenge zea lini
2026-11-13 11:39:24
0
Mr Kareem🤞 :
dahhh
2026-11-13 11:39:48
0
badris ☪️ :
tushazoea kila siku mnazima 😏
2026-11-13 11:47:48
0
boban392 :
tushazoea nyie zimeni2 usiku mutuwachie
2026-11-13 11:43:46
0
madrista Tz🤍💯 :
🙏
2026-11-13 11:40:02
0
Tuma Rajab :
@fatyscooking
2026-11-13 12:00:52
0
To see more videos from user @zecozsnzibar, please go to the Tikwm
homepage.