@abi.mkapa: unakumbuka wap ukiona hii lineup??🙌 #tanzaniantiktok🇹🇿 #roadtrip #trending #fyp #viral

Mjomba_Mabasi
Mjomba_Mabasi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 11:53:17 GMT
13942
1786
117
15

Music

Download

Comments

cris.adam5
Cris Adam :
jinja kama jinja jini la sumbawanga hapo hakuna mwenye historia kama jinja kwanza katoka mbali kuliko wote hapo swakx ila tunafika nao dar
2026-11-14 08:35:55
17
robby.dalali
Robby Dalali :
Apo campun atamoja atuna zimekufa zote apo 🔥🔥🔥👏
2026-11-14 07:54:48
5
t.h.e.g.o.d.s.o.n
T H E G O D S O N😈 :
Mnyama yupo nyuma kule 🔥🔥
2026-11-14 02:34:17
8
pattel320
F.a.r.a.j 🎱 :
Back days tulikua tunasafiri na ROCKET 😂, hizo apo zina buy time mambo yasiwe mengi 😁
2026-11-14 07:31:13
7
emmanuely259
emmanuely :
Nan atakae ziba gape la SAULI
2026-11-14 06:44:02
2
magufulism
MAGUFULISM :
ukimjumlisha na huyu mzee hizi ni kumbu kumbu ambazo haziwezi futika. kiukweli utawala wa mzee nchi ilikua imechangamka sana 🔥🔥
2026-11-15 05:35:44
4
bighnry
bighnry :
Imani plus alijitahidi sanaaa
2026-11-14 06:32:38
3
derwey02
...... :
Buldog jinja boee🔥
2026-11-14 14:47:01
1
anordfidelis
_Kamshange...😎 :
line up ya kusubiria tym la kuingia igumbilo hiyo😂😂
2026-11-14 12:52:45
1
mwaisa.phone.asse
MWAISA Phone & assessor's :
nishida Yan natakan kama sauli angekuwepo alafu na hii karama ijichanganye jamn jaman
2026-11-14 18:30:23
0
________discover
DiScOvEr DEE🍁 :
ivi Iman plus naenyee iliendaga wapi
2026-11-14 09:18:39
0
ishaqabdallah488
Travis :
Imani plus nyuma yake kuna mfalme SAULI🔥
2026-11-14 07:52:09
2
mpandeson1o
mpandeson1o :
oa iyo majinjah🙌🙌🙌
2026-11-14 11:28:34
2
steviningailo
The wonder keyz 🔑 :
sijamuona new force DPK
2026-11-15 15:25:58
0
fd0781
F@d,07💀☠️ :
ni balaa
2026-11-14 09:38:17
0
edwin98746
emanuelemanuel :
majinja hatari tupu
2026-11-16 18:30:16
2
pierre_maestr73
pierre Cruise ✌ :
iringa ifunda kuna bamz flan pale Saul alikua anabugia saaf kabisa
2026-11-16 15:15:42
2
mwaisa.phone.asse
MWAISA Phone & assessor's :
jaman jaman hii road ilikuwa kama ya mwendo kas jaman
2026-11-14 08:12:49
1
chabolly_17
Chabolly 🩶💙 :
Imani plus nyambizi ya njano 🔥🔥 sauli ‘ iache iende ‘ 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-11-14 07:37:24
1
emmanuel_f_s
Franklyn_Jr✝️ :
😅🙌apo wahuni wamewahi kuliko mda wanaotakiwa aini geti la iringa😅🙌 wanavuta vuta kwanza
2026-11-14 05:13:10
2
user8611408294961
user8611408294961 :
hapo wakiachiwa Sasa
2026-11-14 07:48:13
1
samfestojr
Sam wizz 12 :
IMANI PLUS <-- SAULI <-- MAJINJAH <-- SAULI <-- NEWFORCE
2026-11-14 08:17:00
3
shazo.dere
shazo dere :
walikua awaja zaliwa
2026-11-13 19:14:40
0
kelvinsanga217
Kelvin Sanga :
imani nae aliwasumbua sana
2026-11-14 17:34:28
0
henricothomas
Henrico Thomas :
mamaee KIPINDIII ICHOOOOOOOapo wababe wana buytime unaambiwaa saa imefika kabla ya mdaaa.. daah achaa tuu SAULI. iache iendeee
2026-11-14 10:21:19
3
To see more videos from user @abi.mkapa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About