Pole sana yaani mpaka tumbo la uzazi limenicheza mungu afanye wepesi apatikane
2026-11-14 07:18:49
26
user3156966988261 :
Jamani maisha yasasa hivi tuwe na kauli nzuri kwa lolote litalo tufika iwe kivyovyote vile allah alinde na amuongoze na atarudi kwa uwe na baraka za allah
2026-11-14 07:16:31
5
Doro :
pole sana kelese mungu amlinde uko ulipo naimani atapatika2