@paza_sauti_media: Afisa Msimamizi Mkuu wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bi. Maguzu Lujani, amefafanua sababu zinazofanya gari linalonunuliwa nje ya nchi kwa gharama ya shilingi milioni 5, kwa mfano nchini Japan, kutozwa kodi ya hadi shilingi milioni 9 linapoingizwa nchini Tanzania.

Paza Sauti
Paza Sauti
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 11:57:01 GMT
46953
1293
245
56

Music

Download

Comments

tygeman
tygeman :
hujajibu swali
2026-11-13 12:28:57
32
chugaivo2
Ivo2 :
mbona hujajibu swali ndugu kiongozi
2026-11-13 12:31:29
14
mclamar_arts_and_decor2
Mclamar_arts_and_decor :
Kama msimamizi wa bandari hajui kwann wanatoza Kodi,sisi wananchi tutajuaje
2026-11-13 13:29:14
16
mihayomkwachu
Mihayo Mkwachu :
Tanzania ndio nchi isiyo na viwanda vya magari lakini inaingiza pesa mara 3 zaidi ya wenye viwanda bila runing costs na bado ni masikini.. hii ni maajabu 🤔🤔
2026-11-13 13:50:49
8
beulahefsiba7
Ayubu22:28 :
1. kodi ina tozwa kulingana aina ya gari 2. ukubwa wa engine cc zake 3. Umri wa gari tangu kutengenezwa ( tangu litengenezwe huko japan) 4. model ya gari.
2026-11-13 14:02:48
0
msouth.collection5
m-south collection :
wanataka wendeshe wao sisi tuebdeshe baikelii ndio maaana. kwenye uchanguzi. waligawa baiskelii
2026-11-13 13:27:37
10
deempdas
Deemple :
Sheria yes kuna sheria but elaborate
2026-11-13 13:31:18
0
mr47hope
mr T :
[Laughing][Laughing][Laughing][Laugh approved] ni hatari
2026-11-13 13:32:05
0
moshilwinde499
Moshi Lwinde :
sheria kandamiz wao zao awalipi kodi
2026-11-13 12:50:18
14
vinpro44
VIN PRO 🔕 :
Dumping minimazition rule 😁😁😁
2026-11-13 13:29:15
0
bigmanskinny
lifemaisha :
v8 lc200 dollar 17,000...ushuru 90 million
2026-11-13 13:12:32
0
daniel.mbonika
Daniel Mbonika :
Oya huyu anayejibu ni Nani?!
2026-11-13 13:42:36
1
jaym_a_d_a
jayMada🇹🇿 :
Ndio maana watu wanalilia mabadiliko yaan wanakula kuliko hata mtengenezaji
2026-11-13 14:04:17
1
leem2024
Leem :
Watu wamezoea mwizi ni mtu anaekuja nyumbani kwako na kuvunja na kuiba. Ila kuna wezi wapo na wanaenda kazini kila asubuhi na wanavaa suti na tai kwenda kuibia watu mali zao na pesa zao.
2026-11-13 14:32:02
0
pauloyster0
pauloyster :
mimi nilipewa gari aina ya harrier tako la nyani bure na mzungu japo sasa nilipouliza kodi kodi yake bandarini hapa nilishindwa kumwambia mzungu anitumie
2026-11-13 13:37:41
1
givenilomo
#sosoli jr :
wanakimbilia Sheria zilizotungwa na vilaza hii nchi bhana
2026-11-13 13:50:17
5
wambingamashariki
Mwanaharakati wa mbinga :
miongoni mwa sababu za umasikini kuwepo, kudumu na kukua zaidi ni hivi vitu vya kwa mujibu wa sheria🤣🤣🤣 ili ununue gari ya million 50 unatakiwa kuwa na million ngapi jamani? 😂😂😂
2026-11-13 13:27:02
0
kanchii300
KANCHII :
bado haja jibu swali la wananchi wananchi Wana ongozw na schl za chini ya miti
2026-11-13 13:44:21
2
kagimbo_jp
KAGIMBO :
swali zuri kwa mtu asie sahihi
2026-11-13 13:42:39
2
sir.kichaura
sir kichaura :
kwahyo lengo hawatak Wengn wawe na magari wanataka wamiliki wachache tu ndio wawe na magari ndio Maan wameweka Sheria ngumu
2026-11-13 13:58:04
2
ibu0438
IBU :
hamna kitu hapo
2026-11-13 13:22:00
2
mclamar_arts_and_decor2
Mclamar_arts_and_decor :
Zungumzia ushuru na tozo kutoka Zanzibar to Tanzania
2026-11-13 13:26:57
1
kelvinelneus563
PROD KELV GENIOUS :
Kuna namna wanawaleteaga mambumbumbu ndo yajibu maswali mtu unamuuliza kwann anatoa maelezo baada ya majibu kamili we gari Wanao tengeneza wanauza million 5 nyie mnataka millions 9+ Ndonini Sasa
2026-11-13 13:34:30
1
tdoctorbima
tdoctorbima :
Sasa mbona hakunaviwango rasmi vya izo kodi maybe mkeka wa bei ya ushuru kwa kila gar
2026-11-13 13:21:57
1
user6938719423360
Op mkali🦺 level 🫎☄️ :
sheria sheria sheria ndio nini
2026-11-13 12:49:20
3
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About