@king_m0tivation: Yani kama unae wa hivi mgunge kamba kabisa 🙌😁#oneman

One_Man 👑
One_Man 👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 12:09:13 GMT
86819
4140
333
640

Music

Download

Comments

jacqie512
Jackie💫 :
tunagombana tunaachana tunarudiana ila ipo cku tamuacha😂😂
2026-11-13 14:22:24
45
samira.rweza
Samira rweza :
mm ndy nipo kwenye mahusiano hayo
2026-11-13 13:12:19
50
rebeccelunguli
Ms_Rebecca :
Tulikuwa hivyo lakini kila kitu kina mwisho sasa hivi Kila mtu ana mambo yake mwezi sasa na nime mblock😓
2026-11-13 15:36:09
12
sab36846
sab :
akuna Siku atugomban kila Siku ugomvi na akuna Kuachana apa
2026-11-13 14:36:15
17
asiabashiru
Umm Ahmed♥️🕊 :
Tunagombana namtakia kila kher a few moments later” mungu anajua[Tears of joy]😜🙌
2026-11-13 14:35:17
4
faychocolate
Fay chocolate 🍫 :
ndo penzi langu naishi nalo adi sasa tumenuniana [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-13 15:26:12
0
salimu.isengwa5
Salimu Isengwa :
me saivi 2shagombana hatuongei🥹
2026-11-13 16:26:00
2
ms.pretty1105
Ms Pretty🥰🌹 :
Kwel kbc yn
2026-11-13 17:47:51
0
jelius.de.msekwa
Jelius de Msekwa :
sis tumeachana mara4 ila masaa mawili mengi tusharudiana[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] ni mwaka1 sas na miezi kadhaa[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-13 17:53:08
0
kimei65
KIMEI CLASSIC :
😂😂😂😂mim apa wala mama mkwe kasha nyanyuamikono
2026-11-13 14:24:13
0
aries110484
aries ♈ :
[Tears of joy][Tears of joy]Tushavurugana hapa but we are deeply in loveeeee
2026-11-13 18:23:04
0
don.wizzy099
don wizzy099 :
😂😂😂😂 what a guess man
2026-11-13 16:21:50
0
ninnah112
Do_Ninnah💸 :
me km hatujagombn siskii raha bhn😅
2026-11-13 14:50:04
3
niasawaki
Nia Sawaki 👅💕 :
ndiyo mimi na yule jamaa
2026-11-13 13:08:40
8
dijadijadijaz1
Dija Dijaz :
2melewana naja tumepanga kuonana 2ombeeni sijui itafika iyo siku yakuonana bila ugomvi yani akipiga cm nakua Makin nimemiss staki ugomv Siku mbili izi mpka nionane nae 😂😂😂
2026-11-13 13:48:25
7
dec_kid_
B.E.E🐝🐝 :
Broooh umeniongelea mim n mchumba angu, siku 3 furaha siku 3 vita ni vita mura, Ila ndo tuna miaka 6 sasa na nampenda sana sisemi uwongo
2026-11-13 16:31:15
0
realjoy660
Real joy💕 :
Mmh tumeachana😂😂😂😂
2026-11-13 12:37:30
7
elizabeth.chuleha
❤️ :
ndo ninayo pitia saiv ananiambia tuachane nikikubali2 anawaka vibaya mno et nilikuwa natafta sababu jaman nachoka mm
2026-11-13 15:45:41
2
kincorazone
kin corazon👸💋 :
mmmh tumezidi hiyo battle 😂 tunagombn kila siku
2026-11-13 14:20:04
0
husnamnyika
br mom :
sisi dk 2 mbele
2026-11-13 15:10:12
1
sophyally578
Sophy ally :
yani mimi kabsa na mpenzi wangu🤣🤣😂🙌 kugombana kila siku
2026-11-13 16:30:17
1
christer.stanslau
Junnah :
Aaaaan mim tunagomban na namba nafuta lkn tunarudiana lkn ipo siku tu tutaachana mazima
2026-11-13 14:56:46
2
user6553963251667
mayra og 💞💞🥰 :
😳mbon kama umeyaon ya kwangu vile jamn🥰🥰
2026-11-13 14:16:20
2
rehemamvile
rehemamvile :
yani ww tunakaa week nzimaa hatuongei afuu tunajikutaa tuu tushamisianaa
2026-11-13 17:08:53
1
ellyfelicia60gmail.com
Elly _Official_Tz :
Take five 👊 Broo
2026-11-13 14:31:59
1
To see more videos from user @king_m0tivation, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About