@pmakanshu_life_revival: Hizi ni baadhi ya Faida zinazotokana na mbegu za mafenesi: 1. Zinasaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula sababu zina nyuzinyuzi(Fiber) nzuri. 2. Zinasaidia kuimarisha afya ya mifupa 3. Zinasaidia kudhibiti shinikizo la damu sababu zina madini ya potassium yanayosaidia kuweka shinikizo la damu kwenye kiwango salama. 4. Zinasaidia kuongeza damu mwilini. 5. Zinaimarisha kinga ya mwili. 6. Zinasaidia Afya ya ubongo. Hizo ni baadhi ya Faida chache Kati ya nyingi, ongeza kwenye Comment nyingine unazozijua wewe. #kuishibilamagonjwainawezekana #creatorsearchinsights #recoveryfoods