@ochudoctorphone:

DOCTOR PHONE
DOCTOR PHONE
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 12:31:58 GMT
63470
1025
142
457

Music

Download

Comments

sashamoney4
ساشا موني🌺 :
mara paaaah!! umeme arud tenaa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-13 17:09:19
3
mamoo752
mamoo752 :
tushayazowea fuoni hakuna siku msozima umeme
2026-11-13 15:30:42
13
ladyruu2
ladyruu2 :
tuwashieni sa 5 kusage nazi tu huku jua huku wali hauna nazi jamn mnatukwaza
2026-11-13 15:10:35
10
sophy.tameem
sophya tameem :
Ata msituarifu tushazoea shida [Tears of joy]
2026-11-13 19:48:39
0
user1133349506146
fahdi :
ay so mbay tushazoeya
2026-11-13 17:19:21
0
user1149720933713
Humeid Dhahi Huwesheil :
zeco ziro
2026-11-13 18:21:46
1
user5418514859712
zinchenko@23 :
kwahio siku zote hizo mulivokuwa munatukatia umeme kila siku kumbe mulikuw munatukhanis wananchi si ndio, bc njoon muje chukuwa meter zenu hatutak tn umeme wenu
2026-11-13 15:19:33
3
ali.khatib89
Ali Khatib :
Nimeshtuka nimezani wanatangaza mwaka mzima maana naona izo siku zilizotajwa tushazoea jambo lakawaida
2026-11-13 14:27:15
2
chef.hyune
chef Hyune♉️ :
kwan si ndo hivi hiv kila siku jaman
2026-11-13 19:13:57
0
h.d81703
H.d :
msiuwashe tena haswaaa
2026-11-13 15:16:29
0
loading33523
Loading :
Zimeni tu tunamajanareta yetu hatuwategemei sisi
2026-11-13 18:53:06
1
chama.ochu
chama ochu :
tuliishi miez mitatu bila ya umeme musitusumbue
2026-11-13 19:39:32
1
philbetimbanga6
philbetimbanga6 :
sawa tumepokea ila vipi kuusu makato ya mwisho wa mwezi
2026-11-13 17:23:28
0
hassansheha12
@dr HASSAN :
mie nataka liripuke
2026-11-13 15:00:36
0
abdulmalikhaji466
Abdulmalik Haji :
zanzibar inahitaji umeme wake na sio umeme wakuazima niaibu aibu karne hii umeme changamoto
2026-11-13 17:45:45
0
qaaassimu
🌎 :
Ndo tumeanza hivo kupeleka moto
2026-11-13 17:11:59
1
dzk0.25
DzÉk0 25 fúvú ❤️ :
tushazowea sie haina haja ya kutuarifu bahn zimen ata miaka ila siku ina cheza manchester city muashe sw
2026-11-13 17:26:03
1
hassanothamn06
Mzee wachupa :
Kama umeme hamuuwezi wekeni wazi mataifa kutoka nje waje watuwekee umeme tutanunua kuliko kutufanyia mambo kama hayo
2026-11-13 16:44:30
1
user8748821461038
user8748821461038 :
tunaomba matokeo mazurjamni.msituangushe
2026-11-13 16:38:35
1
fetiy24
feti_og99 :
kawaida tu
2026-11-13 14:13:40
1
amina.mohamed249
Amina Mohamed :
mbona tumezowea
2026-11-13 14:09:05
1
hayaha69
user5412391123985 :
kila siku mnahadithi icho icho loooo
2026-11-13 14:21:41
1
akach.chumbe
Akach Chumbe :
tumesha ZOWEA mbn hata wakauzima hatujali
2026-11-13 14:16:55
1
user82631021807830
@hamidabdullah :
pemba mbona hamzimi?
2026-11-14 06:46:27
0
kikokohaji1993gmail.com1
[email protected] :
hamna haja ya kutangaza tushazoea
2026-11-13 20:41:46
0
To see more videos from user @ochudoctorphone, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About