sasa jaman ndo mpangie mtu siku. za kufua ayo ni maamuz yake maana kila mtu anamaisha yake
2026-11-13 19:10:49
65
evvy64 :
mi nafunga kamba zangu nikikuta nguo za mtu natoa
2026-11-15 15:16:36
2
furniture_Bora_2021 weka oda :
kwamana hiyo sasaivi tunapangiana sikuza kufua nguo zanguuu
2026-11-14 06:17:48
13
_.𝑰𝒏𝒂𝒚𝒂𝒉🌸🦋 :
kodi km hii sasa kila mt kivyake
2026-11-15 14:37:09
1
rose🌹🫶 :
Mimi nimenunua Kamba yangu na Bado wanaacha yao ya zamani wanakuja kuanika kwenye Kamba yangu roho inaniuma jamani acha tu
2026-11-14 06:38:04
10
Miss cha :
unalalamika sana, Kila mtu na maisha yake bhana
2026-11-14 14:26:43
5
MKONGORAA 🎮 :
kweli wewe n tahira
2026-11-15 10:50:27
8
Lizzy Daud :
Mmmh nyumba za kupanga zina matatizo sana.Namshukuru Mungu sana ameshanitoa kwenye manyanyaso ya nyumba za watu.Asante MUNGU wangu🙏
2026-11-14 06:36:45
3
Kim nana 💕🇹🇿 :
😂😂😂😂 we acha tu nyumba zakupanga changamoto
2026-11-13 18:07:50
11
zamndoss :
Mi nilinunuaga kamba yangu wala sikuwahi gombana na mtu nikachukua kisolar changu wasipoweka umeme Nipo kimya nikanunua na pasi yangu ya Mkaa Sikutaka kero Mimi
2026-11-15 06:10:30
2
Tumain Ngwale :
NUNUA KWAMBA NYINGINE ,
UKITAKA JENGA KWAKO
2026-11-14 04:16:44
16
𝔢𝔩𝔩𝔞 𝔤𝔥𝔬𝔰𝔱𝔢𝔬́ :
kwani kamba ni shingapi
2026-11-15 17:56:17
0
aggy490 :
Unachokosea kumwambia mtu hana kazi sio vizuri hama bila kumsema mtu hivyo
2026-11-15 15:41:39
2
redstar :
sasa wataka watu wa TikTok wafanye nn🤣
2026-11-14 02:42:40
6
call me dollie😻 :
tusipangiane maisha bn we vp
2026-11-14 21:53:15
3
Binti seheso :
kilamtu afungekambazake
2026-11-13 20:09:52
6
Onesimo Jeremia :
Jenga yak9
2026-11-14 19:00:29
2
loveg@129 :
kajenge
2026-11-14 05:31:12
5
Prekido :
Kweliii inabowaaa hiyo
2026-11-15 13:42:47
1
Samuel_🥷 :
BRAND😁
2026-11-14 17:15:57
1
Ramlah_Fatimah🦋 :
Hovyoo
2026-11-15 12:18:05
1
LEAH JOSEPH :
gurupu o hatuwezikukaa nyumbahiyo
2026-11-14 11:55:55
2
Anie :
ndo Kuna dada jamani Kila baada ya siku2 anafua nikisema leo niwahi kurudi nifue nakuta kafua jamani ukiongea anasema unaongea sana siku nimepanga nakata kamba au na yeye afunge kamba yake
2026-11-14 08:07:30
3
Pisces♓ :
unapitia Kam nayopitia
2026-11-14 15:04:36
1
To see more videos from user @ishqcute, please go to the Tikwm
homepage.