@qurat.ul.ain3064: je ni nabii gan ambay bad yupo hai hadi eo

🕍Qurat ul ain🕋🕌
🕍Qurat ul ain🕋🕌
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 13:48:53 GMT
49767
4961
822
70

Music

Download

Comments

khamisshabaan1
zakaria makame :
nabii aliye hai mpaka sasa ni nabii issa
2026-11-13 20:53:25
129
abduliddy6007
Alhamndulillah" :
wote wapo hai Allah amesema wala msidhani wale waliokufa katika njia ya Mungu wamekufa kweli bali wapo hai mbele ya Mola wao wanazuzukiwa naomba kuwasilisha muheshimiwa🤌
2026-11-14 08:48:19
81
abbuh.makoke6
Abbuh Makoke :
ISSA mwana wa MARIAM ktk reference ya kisa cha Isla-a wal mii'raji
2026-11-20 06:14:33
0
kidu6x0
kidu6x0. :
Issa nd bd uk haii
2026-11-19 20:01:08
0
user9495227343740
ramadhani :
mashaallah sijda hiyo
2026-11-20 17:41:36
0
majanitz2
Majani Tanzania one :
yesu aaaleih salaam,,,,🥰
2026-11-21 12:12:13
2
nothing_life00
akhuy_adnaan :
Issa as
2026-11-20 04:39:05
0
d.star864
#D STAR🌟 :
nabii ISSA A.S
2026-11-20 16:30:14
0
goldee0110518276
Goldee Ismakan :
Issah /Yesu/Jesus
2026-11-20 15:38:41
1
user2323438722940
h1000 :
issa bin maryam
2026-11-14 11:48:43
18
hamadmawilo3
[email protected] :
kama bado aujaolewa dada sema mahali shingapi Nike nitoe kwenu nikuoe😂
2026-11-20 18:48:51
1
humblegirlt
Humble girl🐇💤 :
sijda ni nuru yako usiidhihirishe,sigi hufunikwa kwa niqaab,ni nabii issa as
2026-11-15 10:44:56
7
abuabu0842
ABUABU :
Nabi Aliongoza sala kwa manabii wote, ina maana wote wako haai.
2026-11-14 15:01:02
9
gandhi.al.atrash
Gandhi Al atrash :
Nabii Hidhree nawengi hawamjui huyu bwana Mkubwa na kwa miujiza ya mungu huyu bwana mkubwa mung alimuumba tofauti kdg Alikuwa naelimu kubwa sana lakini pia Damu yake ni yarangi ya KIJANI
2026-11-18 01:29:14
0
ramadhan.kipingu3
Ramadhan kipingu :
hiyo sijida au kovu ya ukhty
2026-11-15 14:31:35
0
naaa36544
naaa :
nabii neema
2026-11-15 13:32:15
0
mtoto_wabibi
Wabibi :
Issa (as)
2026-11-14 14:08:37
6
mbarakbosskubwa97
Mbarak Bosskubwa :
hazri
2026-11-14 11:57:13
2
princess.naah255
princess naah255. :
nabii issa🙏🙏
2026-11-15 12:51:44
1
dr.juma.tz
Dr Juma Tz :
issa
2026-11-14 13:03:35
1
user6851469496670
Mohika💕💕 :
issa bin Maryam
2026-11-16 10:19:32
3
sheha6572
🦋sheha🥀 :
issa
2026-11-14 23:02:38
1
user4997070134342
user4997070134342 :
nabii esa
2026-11-18 09:09:21
1
user8657965596573
Nuri moha :
isah bi maryam
2026-11-15 14:27:00
2
raheem9436
✨✨✨Raheem ✨✨✨ :
Allah akupe ujira mkubwa sijida Ako ikawe ni taa miongoni mwa mataa ya pepon insha allah 🙏
2026-11-15 16:34:26
3
To see more videos from user @qurat.ul.ain3064, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About