@nyebowsa_media: Record Leble ya @kingsmusicrecords imemtangaza rasmi Mwanamuziki @officialalikiba kuachia wimbo mpya Novemba 27, 2026, huku mashabiki wakijiuliza ikiwa safari hii King Kiba anakuja na ladha mpya ya muziki wa Amapiano. Je, unadhani Alikiba atakuja na Amapiano au ataendelea na ladha yake ya Bongo Fleva? #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #alikiba #kingsmusicrecords #kingkiba