@polashex2:

polla.shex🪽🦇
polla.shex🪽🦇
Open In TikTok:
Region: IQ
Friday 13 November 2026 14:31:26 GMT
12
6
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @polashex2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Qur'an ni kitabu ambacho Allah SW amekileta ili tupate kuonywa na kukumbushwa lile lengo kubwa la kuumbwa kwa mwanadamu, Je ushawahi isome Qur'an yote? Tukisema kusoma Qur'an simaanishi kusoma kibubusa yani kusoma kwa kuelewa kwa lugha yako. Hizi ni baadhi ya Aya za Qur'an zinazoelezwa miujiza mikubwa mikubwa iliyofanyika katika nyakati zilizopita 1- UNAMFAHAMU UZEIR? Uzeir AS, ni moja wa watu wema wa miaka hiyo kabla ya Nabii Muhammad ﷺ, na wengine humuita Nabii Uzeir AS, Watu wazamani ilikuwa ngumu kwao kuamini ni vipi Allah SW atafufua watu basi naye Uzeir AS alikuwa akijiuliza hivyo kisha Allah SW alimfanyia muujiza mkubwa zaidi wa kulala siku mia moja yeye na punda wake, unaweza msoma Uzeir AS katika Aya ya 259 katika surah ya 2. 2-  MUUJIZA WA ALLAH KWA NABII IBRAHIM AS Kama unavyofahamu surah al Baqarah inabaki kuwa ndio surah yenye aya nyingi zaidi, basi katika surah ya 2 aya ya 260 Nabii Ibrahim AS anajiuliza ni vipi Allah SW ataweza kufufua watu baada ya kufa na kuwa Majivu, kisha Allah SW anamuonyesha kwa kumjibu kwa muujiza mkubwa kupitia ndege wa nne tu. 3- KUNYANYULIWA KWA MLIMA Na katika aya 63-64 ya surah AL BAQARAH Allah SW alinyanyua mlima na kuwalazimisha wana wa Israel wafuate yale aliyokuja nayo Musa AS kisha wakakubali kufuata na mlima ulipoondoshwa walirudi katika maasi yao, Kisha Allah SW katika aya ya 65 anaamua kuwakumbusha wana wa Israel kwamba wanafahamu yale yote yaliyowakuta watu wa siku ya SABATO watu ambao walifanywa kuwa manyani kwa kule kuitumia siku ya mapumziko 4- MUUJIZA WA MEZA TOKA PEPONI Katika kipindi cha Nabii Isa (Yesu) AS, wanafunzi wake walimuomba awaletee chakula toka peponi   kisha kililetwa Chakula toka mbinguni na wao wakala, utasoma hilo katika aya ya 112 hadi 117 katika surah ya 5 kwa jina la AL MAIDAH........ 🙏🏾🙏🏾♥️

About