Sitawahi vuka speed 120km/h hata kama naendesha F1, kwanza speed ya mwisho nimewahi fika ni 110km/h na ilikuw mchana barabara naiona nyeupe mita 100. Sipendi sifa za kijinga wala sina haraka.
2026-11-13 20:19:42
21
Kangaboy :
No Body Is Safe DZSTVN 🔥🔥😂
2026-11-13 17:08:07
6
ivan jr :
𝚗𝚒𝚖𝚎𝚜𝚒𝚔𝚒𝚊 𝚝𝚞 𝚜𝚊𝚞𝚝 𝚢𝚊 𝚝𝚊𝚓𝚒𝚕𝚒 𝚊𝚙𝚘 𝚔𝚊𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚎𝚎𝚎𝚎𝚎𝚎𝚎𝚎𝚎𝚎
2026-11-13 18:04:56
16
user4084567284619 :
learning the hard way
2026-11-14 04:39:43
0
Izack da real :
Itakuwa sio kweli kwa speed hiyo hata angesua nguzo tu ya umeme hakuna ambacho kingesalia ila MUNGU ni mkuu na anamaajabu yake nisipinge maana nitakuwa mchawi maana akili za MUNGU sio za binadamu