mjomb anakera balaaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-13 16:00:59
6
salma :
asa cawina mbn umetoka mapema kwa mover sasa
2026-11-13 15:32:47
49
❤️ PRETTY NEY❤️ :
daaaaah rip carina nilisomanae
2026-11-13 18:21:25
0
Latifa 🌸🦋 :
mnauhakika mjomba ni mama?
2026-11-13 15:52:57
18
mpori 123 :
alafu mseme ohooo mjomba ni mama 😢
2026-11-13 15:52:09
15
jamillah omary :
kwahiyo nirisasi ndo imepita hapa amaa ni nn
2026-11-13 16:11:20
6
YACHY REDEMS🔥 :
director kazngua kumtoaa lbda atarudi kam mzukaa
2026-11-13 16:04:12
10
mama G :
mjomba sio ndugu yako mjomba ni ndugu yake mama
2026-11-13 15:57:46
20
mamy raykhanat :
kawina siangenipa mm kesi ya mauwaji nipenda kula ugali bure nimechoka kujihudumia bana
2026-11-13 15:17:49
8
marrymorice :
Sina neno
2026-11-13 17:16:55
0
jenny maganga :
ila mjomba simpendi jamaani 😭😭
2026-11-13 16:50:18
5
HALALI IS BEAUTIFUL 🤲❤️ :
Na ole wako ba asma cawina aponeee
2026-11-13 16:34:43
3
G flower🦚 :
Yan kama kawina kafaa Dunia sifatilii tena mm
2026-11-13 16:47:49
6
LOVE ❤️ 😍 💖 :
lazima utoke so kwa mateso hayo
2026-11-13 15:35:41
10
mimaah cute😘🎀 :
cawina jmn roho imeniuma😭😭
2026-11-13 15:54:10
8
Fay💞 :
Mimi nlitegemea cawina angepewa dawa apone Sasa anakufaje jaman 😔
2026-11-13 17:37:22
1
ᥫ᭡ώყňαkhׁׅ֮αň🧸ྀི :
Director jau😩
2026-11-13 15:49:12
8
Lydia ❤️ :
Cawina 🥲 why
2026-11-13 15:58:36
10
Mariam Mwalim :
yani season 1 alivyo kufa mati sikuangalia tena dunia mpaka vishawish vya vipande vya tiktok vya leyla na manyanya nikailudia lakini panapo endea naona nachanganyikiwa kwanza simpend jodan pili mala nitake manyanya aludi kwa vai mala nataka manyanya awe na leyla yani nachanganyikiwa nishike lipi
2026-11-13 17:22:36
0
pretty giffty :
kofi la mjomba🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-13 17:44:04
1
🕷 🕸 spider 🕷 🕸 :
manyese umechelewa sana pole kujikataa 😂😂
2026-11-13 17:28:53
1
ACHA IBAKI HISTORY ❤️🩹💔 :
carina ungesubir kdg
2026-11-13 15:43:20
5
Ahmedy Ally :
movie sidhan kama itanoga, ni bora mngebadil script mngeibadilisha cawina angekua kichaa tu kuliko kumtoa
2026-11-13 17:02:17
1
VISIT DODOMA :
2026-11-13 16:17:57
2
To see more videos from user @duniaseason, please go to the Tikwm
homepage.