[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] haya maisha bhana ichi hii mpaka faini mnapatana sasa, nyinyi serekali mpaka manapunguza bei za faini ya makosa ya barabarani zidi ya madereva kwani imekuwa biashara ya mnadani [Tears of joy][Tears of joy] ndo mjue raia wengi wa zanzibar ni masikini muache kutukandamiza msitufanye kama uchumi namba 2 baada ya utalii
2026-11-13 18:46:54
0
autodiagnosistz :
inatia moyo kwa sauti ya muonjaji WA taifa
2026-11-13 17:30:51
0
Husa tz :
mimi nataka nijua kama chombo changu kina deni au laa nafanyaje au mpka nije dole
2026-11-13 16:56:21
0
BrightLink Solutions :
Mmeshatutia unyonge mmetukausha hatuna tena lolote ndio mnajidai kupunguza.
Nchi nyengine vipato vya wananchi ni vikubwa sana tofauti na sisi.
Mmeona sasa kuweka mafaini makubwa hayasaidii bali ni kudhoofisha hali ya uchumi ya wananchi.
2026-11-13 18:53:36
0
maraone_technology :
Hizo fain za mwanzo nani aliziweka hivyo? 😀 😀
2026-11-13 18:00:16
0
IM SINGLE :
izo za honda na gar au
2026-11-13 17:47:18
0
DANIAL :
kwaiyo ni kwa boda boda na bajaji tu mana ndo waziri alotaja
2026-11-13 17:56:05
0
Ghurayra :
Saiv angalau wameweka kibina adamu maana watu walimeingia madeni kweli kweli kwa fine za barabarani mtu anaenda kukopa ili apate chombo chake
2026-11-13 17:48:09
0
Omar Edha Bazaar Al.Obthani :
road licence si inakatwa ktk petrol sasahv nani atakaekosa road licence na ukishaweka mafuta ushalipia tayari
2026-11-13 17:29:26
0
therealmusab_ :
dah asanteni sana kwa kutupunguzia faini maana tulikua hatuendeshi kwa amani
2026-11-13 16:47:08
0
ayoun :
Leseni yangu niliificha wapi.
2026-11-13 16:46:48
0
KAGIMBO :
Alietunga hiyo nyimbo ni nanii😂
2026-11-13 17:46:02
0
Official Fii :
Hongera sana kwa hili mmetisha wakuu mmeeka faini kulingana na pato la raia mmoja mmoja kabisa
2026-11-13 17:40:45
0
مختر ابرذك :
Kumbukeni ni kwa Pikipiki na Bajaji Nagari faini ipo palepale
2026-11-13 16:58:14
0
Mukhtar Mustapha :
Afadhali 😂🙏
2026-11-13 17:44:17
0
GARO :
Sasa kidogo mumefanya utuu sheriya na utu kidogoo afazali 👍