@balqawww.tiktok0: Replying to @kushray hiii inazid kua moto 🔥

❤️Balqa♾️➰🦋❤️
❤️Balqa♾️➰🦋❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 15:33:44 GMT
132064
4079
53
42

Music

Download

Comments

norah_hassani
Norah hassani :
alafu batu ni yule mtoto wa six of us
2026-11-15 16:44:52
22
ukhtysunnah6
sunnah 😍 🥰 :
hivi wanavyoongea hawatemeani mate
2026-11-14 20:58:02
6
msminah261
Ms Minah🦋 :
Nilitaka niache kuangalia ila nimepata nguvu mpya 😅
2026-11-13 21:32:55
37
princesszena44
Princess Zena💫🦋 :
No para para no para para batu😂😂
2026-11-14 06:55:00
8
nyang188
narichy 💜🧡 :
nikawaa nawazaaaa baltu ndooo nan kumbeee batuuu
2026-11-14 12:23:33
23
prisca41815468413
Miss Priscamaduhu :
kajuaje jmn batu
2026-11-13 19:44:48
0
geeluxe.mix56
Geeluxe Store🛍️ :
Batu na Koray cyo Baltu na kolay
2026-11-17 11:43:58
6
raima.issatiktok.comsha0
raima :
kumbe ndo wanaongeaga vibaya hivyo😅
2026-11-19 20:28:30
3
faakilula
faakilula :
nilisahau jina la dadaake Batu mdogoangu akaniambia dadaake Batu aitwa batuli🤣🤣🤣🙌
2026-11-15 00:13:34
5
zuwena1914
Zuwena$ :
Dunia hii kina Aisha wachache sana dah mpaka nimelia🙏
2026-11-17 07:23:36
12
janethtadei545
montana cute 🥰🥰 :
naomba muenedlezo pleas
2026-11-13 15:42:36
1
naghamzu0
NIAGIZE KARIAKOO CHOCHOTE :
Nampenda batuu na alomtafsiria saut ya upoleee
2026-11-16 01:19:28
4
angelinajoash8
Jaber Kabwana :
ww iyo umeiona lini jmn
2026-11-16 12:37:39
1
hernice123
Hernice123 :
ila wanaongea vibaya
2026-11-18 11:08:56
1
asmah.bawazir
Asmah Bawazir :
Mungu nipe mdada atakae penda watoto wangu🙏🏽🙏🏽Kama hivi
2026-11-19 07:15:15
0
mariam.abdalah61
Mariam Abdalah :
Y
2026-11-20 19:53:31
0
mwasiticake
Mwasiticake🎂 :
iv kuna bint wa kazi au mfanyakaz wa ndani kama uyu jmn uku kwetu
2026-11-14 06:48:27
1
lizzyzi34
liner :
ukimpata mfanyakazi kama Aisha unaweza kuacha watoto hata mwaka mzima
2026-11-15 20:35:45
2
user8131813847205
Dalvinicious mom :
jaman aisha analea watoto vzur unaweza sahau kama unawatoto et
2026-11-16 13:04:27
0
gladness977
Glady🦋 :
Ngoja wakome mana wao wakikutana na hasira zao stori ni korai hata hawaangalii mazingira
2026-11-14 14:24:08
0
suzzanydeus
Suzzany Deusg@email :
jmn ww ulikuwa wap sku zote hzo kutujuza maana huku kwety kila sku umeme unakatika asubuh mpak jion na jion ukifka nmechoka
2026-11-15 22:26:26
0
rejo7014
Rejo :
😂😂😂
2026-11-14 10:33:13
1
jojoposh2
jojoposh2 :
🥰🥰🥰
2026-11-14 06:01:08
0
To see more videos from user @balqawww.tiktok0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About