@kijiwenikwetu: Replying to @Hosana_james Wangoni ni jamii yenye historia ya uhamaji kutoka kusini mwa Afrika, ujenzi wa falme, ujasiri wa kivita na mchango mkubwa katika Vita vya Maji Maji. #songea #fypシ゚viral #wangoni #storytime #kijiwenikwetu @MsJowjoh❤️

KIJIWENI KWETU
KIJIWENI KWETU
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 17:17:53 GMT
3859
257
12
27

Music

Download

Comments

filberthaule882
Filbert Haule :
wangoni tujuane
2026-11-13 19:34:12
1
raphael_ddr
Raphael_DDR :
asili ya songea ni wandendeule, am proud to be mndendeule siku nyingine tafuta historia ya wandendeule tuje kuwasimulia wajukuu zetu😅
2026-11-13 17:25:44
4
ms..candy2
Ms. Candy🦋 :
Mwalimu wangu mwalimu chitete mashujaa shule ya msingiiii👌👌😍
2026-11-13 17:55:47
1
user8384652881924
user8384652881924 :
Kaka mwalim wangu anaitwa chitete uyo kitambo san
2026-11-13 17:52:01
1
maxmacode
MAX MACODE :
Babu yangu mm huyo🔥
2026-11-13 19:50:21
0
zuhanstoresongea
zuhanstoresongea :
kumbe mbeya ni kaskazn 😂
2026-11-13 17:38:06
2
sela_smart_
Goat.CR7🐐.siuuuu.... :
🤣🤣 uyu shaidi au kasimuliwa kam mim tu
2026-11-13 17:35:54
1
rebby42
mystique_rebby :
Mzee chitete
2026-11-13 18:38:45
0
mmgwina
Foreign National :
Why nyumba ya nyasi hapo nyuma? wangoni hatuishi nyumba hizi nowadays.
2026-11-13 19:39:42
0
To see more videos from user @kijiwenikwetu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About