kandili anatumia baba na kibatatari tunatumia watoto halafublkablayakulala hua kuna hadithi tuna simuliana hadithi za mazimwi. na vibwengo duu saivi wapi[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-13 20:24:45
10
Crush💋 :
Allah Amraham Mama Yangu😓
2026-11-14 03:52:39
2
minn..Minter🦋 :
nmemuuliza mtoto wng hii n nn kanambia pasi ya Zaman 😅😅😅
2026-11-13 17:37:06
6
Ayyam 💔💗💦 :
allah amrehem mama yangu huko aliko AMIIN🤲❤️
2026-11-13 19:53:37
6
lunamas :
ikifika magharibi unaambiwa ukafute tungi uwashe taa
2026-11-13 18:43:28
6
🦋🌹saum🦋🌹 :
mm ninayo iyo taa mpaka leo inanisaidia stima zikipotea
2026-11-13 23:43:36
4
★彡𝐓𝐫𝐢𝐩𝐥𝐞 𝐌彡★ :
naomb hii qasda
2026-11-13 19:36:37
0
selewani jr :
nimegundua kitu kadri siku zinavyosonga maisha yanapungua ladha.. maisha yalikua na ladha kubwa
2026-11-13 23:12:42
6
Mammy 💖 :
Zanzibar miez mi3 bila ya umeme😅😅😅
2026-11-13 23:18:39
2
abillajr :
better than zeco😂😂
2026-11-13 20:55:31
0
MAZRUW _POINT 🥷 :
dah zamn ilikuwa raha
2026-11-13 21:59:19
4
*FATMAH# :
those were the days wallah
2026-11-13 20:17:44
2
thuu :
🥺🥺🥺
2026-11-14 03:54:28
1
user8195779850039 :
uyo alikuwa nitajiri😂😂
2026-11-13 23:28:47
1
AREOLA_GK 🧤🥅 :
oy kaka unakumbusha mbali yan mpk natak siku zirud nyuma
2026-11-13 21:57:47
2
Ruu beauty :
Iringaa kitanzini 😅
2026-11-13 22:47:09
1
natasha :
mashaalah the best♥️
2026-11-13 20:25:18
1
muswadiq :
kandil
2026-11-13 20:36:22
1
Mudhakir 🤠 :
miaka imepita 1997😂😂
2026-11-13 20:02:31
3
tunny🦋 :
old is gold those nice days!
2026-11-13 20:02:58
2
lily :
Allah Wareham bibi zetu babu zetu wazazi wetu amewn yarabby
2026-11-13 19:17:09
1
maza :
nakumbuka tukichambua karafuu pemba baba anawasha hio taa
2026-11-13 20:58:27
1
user6726765865548 :
da!!!h kaka umetukumbusha mbali sana 😢
2026-11-13 20:05:36
0
To see more videos from user @mudi_lacunta, please go to the Tikwm
homepage.