@truetech_computers: JENSEN IS A GOAT. Within few seconds watu wameanza kuclaim moral superiority over Jensen, maNPC kibao wanafurahia anguko lake, wasijue tulichokipoteza gamers pamoja na watu wa AI infrasturctures, Jensen alikuwa bonge la chip designer. Naanza kuwa a little bit suss wa hili anguko lake, kuna machawa behind the scene wanapull strings. As always, I hope you are winning, Yours in tech, -VIRAL. #nvidia #fyp #fc27 #gaming #tanzaniantiktok🇹🇿