@mwenye.nchi: Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya……. Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
Region: MA
Friday 13 November 2026 18:00:09 GMT
Music
Download
Comments
thedon boys :
akiletakatiba mpya kajiloga kwenye uchaguzi watz tunakipa %99/Chadema kushinda
2026-11-13 18:23:22
1
evarstalphonce :
huyo mam tumemchoka
2026-11-13 18:52:16
6
Mungu Dereva :
Dah Kikwete lkn tumekukosea nn watanganyika Mafia[Crying][Crying][Crying]
2026-11-13 19:25:23
4
Papa Fadhili :
muachieni lisu halafu tuende kwenye hiyo ktb wanaogmbea ktb mpya wametekwa wengine wamefungwa halafu tunaendaje watu hawainekani
2026-11-13 19:36:43
1
Abraham Abraham :
TULIENI SI MUNATAKA KATIBA MPYA 😂😂😂😂😂
2026-11-13 18:48:45
2
janeth Godfrey :
tumekwisha na samia suluhu🤣
2026-11-13 19:03:46
2
officialjoedzy :
mnataka katiba mpya au hamtaki mbona hamueleweki eti wewe mwenye CDM yake
2026-11-13 18:51:18
0
MSUYA❦ :
manina
2026-11-13 19:16:57
3
eminertuesday :
mbona mmeanza milio tena si mltaka katiba nyie
2026-11-13 20:34:29
0
jaman Kwan watanzania tunataka nn mbon nashindwa ikuelew haya mamb🤣🤣🤣🤣
2026-11-13 20:25:13
0
panya kalowa :
duuh kiukweri nimeishiwaa nguvuu dah
2026-11-13 20:42:58
0
P* ONE CLASSIC🌍 :
wana taka kutupeleka tuwe kama congo twende tu
2026-11-13 20:07:36
0
peters718 :
Nawambia hii nchi CCM ndo kirusi
2026-11-13 20:04:43
0
P O K K A :
2026-11-13 19:00:29
1
anu :
we. dheni
2026-11-13 18:48:54
0
panya kalowa :
wa tz hatujielewi
2026-11-13 20:33:03
0
peters718 :
Mbona ni ujinga a wa hali ya juu
2026-11-13 20:03:08
0
officialjoedzy :
iv nyie mnamuelewa😀😀
2026-11-13 18:52:07
0
mwile :
hatumwitaji hta kidogo
2026-11-13 18:20:03
4
zukell :
tumekwishaa
2026-11-13 19:56:39
0
lucy lyuki :
Mungu asimie yote anatujua watanganyika tuna hali gani
2026-11-13 19:43:15
0
user8012326374455 :
mmh jaman
2026-11-13 18:21:41
1
Rodrick Anael :
tena kama Kuna kosa kubwa litafanyika ccm ilete mgombea mwingine hakuna nusura ya nchi ni mama Kuendelea kuwa Rais mpaka 2035
2026-11-13 18:50:44
0
Faris 🇹🇿 :
Sister [Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Pray]
2026-11-13 20:31:30
0
abuu marjeby :
Wallah namuombe mama apige kumi na 15 aiseee hana baya kabisaaa huwezi kushinda na mteule wa mungu
2026-11-13 19:37:52
0
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.