nani ata kuwa huru twende sehemu tukarie pamoja maisha yanani vuruga sana 😭😭😭😭😭😭
2026-11-15 09:31:49
27
Daureen cutie :
Am missing my ex
2026-11-16 02:40:58
11
kitundu boy :
alianz kula hel zangu
2026-11-14 13:05:00
6
D@ mkal!45🍁🍁 :
Saiv nikimkosea anipigi wakat alikuwa ananipiga had nalazwa hospital bac saiv anipend😭
2026-11-14 08:04:26
13
dee🫦 :
nikimwandikia ujumbe mrefu anajibu sawa🤣🤣
2026-11-14 18:22:06
5
hanxee lass🐝🍯 :
mtu kakublock hta hujamkosea jaman na nimeongea nae vizuri tu usiku asubuh kaniblock uwiii naumiaa nyieeee na hapatikan
2026-11-14 11:19:56
2
_._milo👑 :
HISIA KALI 🥺
2026-11-13 20:20:46
3
🖇📍Melsah🦋♥️ :
kisa nipo mkoani🥺akaniacha
2026-11-14 13:03:41
2
cute malume :
jman usiwaze machallah nipo kwaajlii ako
2026-11-14 15:05:34
0
Anna nana :
anitafuti ananitafuta akiwa ako na shida na mwili wangu ndo unaskia anakuita baby girl na anakuchatisha lisaa lakini iviv akutfti ata week so Nisha mjua sahii anisumbuhii kichwa smpend tena
2026-11-14 08:38:42
0
lastborn💫💍 :
cz nilikuwa siend kwake aliamua kutafta mbdala
2026-11-13 19:25:57
0
💫💢 lady kany :
matendo tu yanaashilia upendwi.
2026-11-17 09:16:27
2
Rosemary❤️ :
nilimpigia simu kwenye namba yangu hakupokea nikampigia kwenye namba ya rafiki akapokea🥺💔
2026-11-17 09:22:55
3
Princess Reticia :
bk
2026-11-14 19:09:06
0
h. fighter💟 :
niliambiwa ila nikiowa nitakumiss sana
2026-11-17 11:18:03
1
smile sms🥰 :
hantafut had nmtafute🥹😔
2026-11-16 09:06:05
2
RAIS WA KWA DUMBA_❤️🌹 :
Mkali🔥🔥
2026-11-16 06:23:34
1
Daureen cutie :
nilimwabia niko na ball akaniblock
2026-11-16 02:45:45
2
TOZZY👿😈 KIDDY👿😈 :
mkali wangu
2026-11-13 18:28:54
1
ليند :
Greetings from Algeria, why are you sad, my little one?🥺🥺🥺😢😔
2026-11-14 18:37:55
1
𝐈'𝐌☆𝐉𝐈𝐆𝐆𝐄𝐑_26👑 :
Alintumia million moja nikanunue mswaki 😩😩😩
2026-11-13 18:14:07
4
ZOUH🦄 :
2026-11-13 18:32:36
1
Fahmi :
2026-11-20 18:44:31
0
Saïrah la skinny 1⚔️😘🥰 :
[Sticker] 🥰🥰🥰🥰
2026-11-20 17:38:52
0
To see more videos from user @machallah870, please go to the Tikwm
homepage.