@kijonjojnr: Licha ya Familia ya Glazer kuonenakana kujaribu kuirudisha man utd kwenye ubora wake, Lakini Jitihada zinaonekana ni ndogo mno zaidi ya matarajio ya mashabiki wa man united.. Sir Jim Ratcliffe ambaye alionekana kuja kama mkombozi nae ameendelea kuwa sehemu ya anguko la klabu hiyo..  #ManchesterUnited #GlazersOut #ManUtd #PremierLeague #StoryZaSoka

Story za soka
Story za soka
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 18:28:22 GMT
30000
2274
24
25

Music

Download

Comments

23babygirl076
23babygirl07 :
Leo nimejua tatizo la team yangu ila bado naipenda
2026-11-13 19:29:35
9
sanya_business7
Sanya_business 👑 :
Leo ndio nimejua kumbe Manchester United hilikuwa Yanga zamani 😂
2026-11-14 00:57:46
3
godlisten777
GODLISTEN 7 🐙 :
Nataman tushuke tukaanze upya uko chini😅
2026-11-14 03:12:54
4
user4442057258815
KAWAWA MAFUTURE :
big up bro unajuwa
2026-11-14 06:54:55
1
yaziduamimu
Amimu :
kumbe hii ni yetu
2026-11-14 05:33:34
1
mr.jowzey1
Mr Jowzey :
Man u forever hta tushuke daraja
2026-11-14 04:14:44
1
shazil2517
SHAZIL Tz... :
ni kwel
2026-11-14 06:56:47
1
macksmackson0
Macks mackson :
Nimependa hii part 1,2
2026-11-13 19:01:31
2
user2081512601188
abuu feitham :
sasa hio ndio man halisi
2026-11-14 03:19:19
1
sannyford
NBA Sannyford👑 :
Mbona hyo man u ilikuwa kwenye kiwango cha juu sana 2008 mpk 2013 walifika uefa final 3 ndani ya miaka 4 sio simple na walichukua ligi mara x3🔥🙌
2026-11-14 09:42:47
0
londonboy238
london solomon## :
ety sikio la kufa ndo man u
2026-11-14 08:27:44
0
khamis.kanyongile
khamis kanyongile :
nabado
2026-11-14 08:35:29
0
lyabaranda
ijugo :
mambo ya mo na babake😂
2026-11-14 03:00:41
0
erick16604
erick16 :
nisikio la kufaa[Big LOL]
2026-11-14 04:33:34
0
mrcash076
Yunus :
😅😅😅😅
2026-11-13 19:07:55
3
lebotoyo
melito saitoti 🇰🇪♥️ :
♥️♥️♥️
2026-11-13 18:33:47
2
giliag09
fact_verse.09🐬 :
❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
2026-11-13 18:56:48
2
stevenreuben74
Steven Reuben :
😎😎😎
2026-11-13 18:57:37
2
akidaamiri
The king :
@Kevin masagara @GURU MR PROBLEMS ✅ @Robert Go chill backup @C.E.O wa CHELSEA👑 @Mwaki Msafi
2026-11-14 07:08:48
0
salva_kitaa
SALVA_THEO :
😳😳😳
2026-11-13 19:42:24
0
saitoti.mandela
Saitoti Mandela :
😂😂😂
2026-11-13 20:05:36
0
james.jemo.2545
James Jemo 254 :
🥰🥰🥰
2026-11-14 11:06:24
0
To see more videos from user @kijonjojnr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About