@kaukauglamhouse01: tupikeni pamoja Balfin Kwa mahitaji ya nyumbani chai ya asubui. MAHITAJI :- Kikombe kimoja cha maji. 1cup Maziwa ya unga 2 cups. Blueband 1 table spoon. Sukari 1/2 cup. Arki.coconut flavour and vanilla flavor.#balfinrecepy.#foodlovers #tiktokviralvideo #zanzibar🇹🇿 #maziwa .