@azadqueen33: Bhabi …..

azadqueen
azadqueen
Open In TikTok:
Region: PK
Friday 13 November 2026 18:44:23 GMT
71372
3475
3
221

Music

Download

Comments

m_f0050
M.F🥀 :
🥰🥰🥰
2026-11-14 03:07:15
2
zabii_sivia
Zohaib :
❤️❤️❤️
2026-11-13 18:49:09
2
zain.sivia8
Zain Sivia🇪🇺 :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-11-14 16:52:34
0
To see more videos from user @azadqueen33, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema kuwa Serikali imedhamiria kulifanya Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) kuwa mji mpya wa kisasa wa kiuchumi na kitovu cha viwanda kama ulivyo mji maarufu wa Shenzhen nchini China. Prof. Kitila ameyasema hayo leo Jumamosi Oktoba 3, 2026 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji na maendeleo ya miradi ya kipaumbele katika eneo hilo lililopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Akibainisha dira ya eneo hilo, Prof. Kitila ameeleza kuwa Bagamoyo SEZ inajengwa kwa kuhusisha viwanda vya kila aina vikiwemo vya nguo vinavyozalisha ajira nyingi, viwanda vya dawa, na kemikali mbalimbali, pamoja na eneo la teknolojia litakalokuwa kielelezo cha Silicon Valley ya Tanzania. Prof. Kitila ameongeza kuwa eneo hilo litabadilika na kuwa mji wa kisasa uliokamilika wenye hoteli za kifahari, makazi mazuri, bandari ya kisasa, na miundombinu ya reli inayounganisha hadi Bandari ya Kwala huku Serikali ikitazama uwezekano wa kujenga barabara mpya ya kuunganisha moja kwa moja hadi mkoani Tanga. Kuhusu suala la fidia kwa wananchi wa Bagamoyo walioasisi maeneo yao kwa ajili ya mradi huo, Waziri Kitila amewatoa hofu wananchi hao kwa kueleza kuwa hakuna mwananchi atakayepoteza haki yake, kwani tathmini inakamilishwa ili kulipa fidia ya awamu ya pili kupitia mchanganyiko wa mapato ya TISEZA, mchango wa Serikali, na kushirikisha wawekezaji. Katika hatua nyingine, Prof. Kitila ametoa wito kwa wawekezaji na wamiliki wa viwanda eneo hilo kujihusisha kikamilifu na maendeleo ya jamii inayowazunguka (CSR) kwa kujenga shule na zahanati, akibainisha kuwa kuelekea mwaka 2028 Tanzania itahitaji shule nyingi za sekondari kufuatia uamuzi wa Serikali wa kufanya elimu ya sekondari kuwa ya lazima kwa watoto wote.

About