dada yangu Allah anautajiri wa vyote vya ulimwengu tunavyovijua na tusivyovijua unaonaje ukakaa kwa utulivu mkubwa na unyenyekevu ukamtangazia shida zako maana binaadam wataishia kukuzalilisha na kukusema tu binaadam hatuna jema utapewa laki Moja halafu wakupost mitandaon ili wapate sifa mfanye Allah awe kipenz chako awe rafiki Yako yeye pekee anaweza kukutoa kwenye hizo changamoto
2026-11-14 04:59:57
11
Farhat Sharifa :
ukipata mume namie naomba mungu anipe nimechoka jmn mutuoe
2026-11-14 05:05:14
17
BAZAAR :
Dada Amka usiku kuamullayl...Muombe Allah akupe Mume wa khery mwenye kipato🥰
2026-11-13 20:41:57
19
*King_muhunzi* :
Pole dada
2026-11-14 12:22:50
0
amayrah :
nitumie namba yako tuongee vzr dada
2026-11-13 21:13:04
5
JOSEPHU :
mungu ndio suluhisho la maisha yako sema na mungu tubu mazambi yako mwambie mungu shida yako mungu anajibu shida za waja wake mungu anajibu matatizo ya waja wake acha kuomba watu acha kuomba wanadamu wenzio hawatakusaidia lolote mtangulize mungu muombe mungu mlilie mungu ndiye anaweza kukujibu 🙏🙏
2026-11-14 07:51:14
3
Pili mitindo :
Yallab tustiri 😢
2026-11-14 11:49:04
0
damamu :
pole sn
2026-11-14 09:02:37
0
MaestroMiki :
Usiseme nataka kubadilika au kumrudia Mungu sema kuanzia sasa nimebadilika na ifate kauli yako kwa vitendo. Mungu yupo na wewe ishallah mambo yatakuwa mepesi. Amen
2026-11-13 21:53:13
5
KIDENSA :
Dah pole cn ningekua na nyumba ningekuja kukushaur kukuowa ila nd cn nyumba
2026-11-14 03:15:03
1
salum ali :
hii namba umetoa haifanyi kazi au vip
2026-11-14 04:13:58
1
Sauti ya Wajane :
nakuelewa sana mdogo wangu naomba unitafute
2026-11-14 05:17:40
1
tuma issa selemani :
Allah akufanyie wepes inshaalah
2026-11-14 10:10:37
1
Jaqline tz :
usilie mshukuru allah
2026-11-14 10:49:58
0
suzzy :
Allah atakiupa wepesi dada
2026-11-14 09:09:52
1
Abu Saad 001 :
Dada yangu Allah akuhifadhi na akuongoze katika hiyo nia yako mashallah na kingine nakuomba umuombe Allah sana na ipo siku utakuja kufaulu Allah mbele kila hatua duaa
2026-11-14 01:57:34
4
Suleiman73 :
pole sana dada kwakweli nimelia sana dada mm ni mpemba mwenzako najuwa sana maishe yetu yalivo , pole sana allah atakufanyia wepesi na utafanikiwa kwahilo😭😭😭😭👈☝️
2026-11-14 02:01:54
5
sidecaptain3 :
pole sana kipenz usjali na ss tutakusaidia chochote inshallah
2026-11-13 20:47:48
7
Nana love ❤️ :
umri 29
2026-11-13 22:22:24
2
tuji funze :
pole sana usilie dada maana kwakila jambo Allah kalipanga usilie sana dada tumuombe mungu kwapamoja atujalie
2026-11-13 21:44:22
4
DADIDADI :
shehee nurdin wewe ni mtuu wa busaraa sanaaaa emuu liangaliee hilii jambooo umsaidieee hiyuuu dada inshaallah ujumbee utakufkaaaaaaaaa
2026-11-13 22:05:57
4
Shaimaa :
Pole ndugu yangu pole sana ila ukibitaji usimpoint mtu mmoja usimtaje mtu fulani akupe MSAADA wengine huwa hawampendi kwa Nini fulani
2026-11-14 03:39:50
0
Adam tz 🇹🇿 :
sisi watanzania enyewe tunataka tuje huko uwarabuni sasa itakuwaje 😂😂😂
2026-11-14 03:48:18
3
Ali Faki :
ni mtihani Allah akupe subra dad anguu
2026-11-13 22:22:40
3
To see more videos from user @mmy438, please go to the Tikwm
homepage.