everything Allah has written it baba usikate tamaa
2026-11-14 08:50:44
0
Papaa 🇹🇿🇴🇲🇴🇲✌️✌️ :
Really 🤔
2026-11-14 10:28:46
0
John Matem :
good brooo
2026-11-14 19:26:37
0
Lee Vivi :
duuuh polee broo
2026-11-14 20:35:29
0
Leah Songela :
kakaangu usiwaze sana jiangalie jitasmini usjikatishe tamaa usjione kama wewe mungu kakuonea au hakuoni Wenda ndo mlango wako wakutoboa amini majalib nimtaji kakaangu amini hilo kwamba mngu Bado yupo nawe
2026-11-13 20:38:40
0
secret super star 🌟⭐ :
inaumiza sna. I see usikate tamaa Allah yupo atakupa sikumoja uwa zuri
2026-11-14 11:29:42
1
Salima_Maiko :
usichoke kaka endelea kupambana nakupenda sana kaka
2026-11-14 18:53:42
0
rashme :
uo ndio ukubwa bc pambana kwa ajili mwanao
2026-11-14 19:18:46
0
fridah :
ndio hali yamaisha usikate tamaa kila mtu anachanga moto zake kunassi tusio kuwa na bahat na ndoa tumeamua kutulia mungu atafanya njia nikikumbuka kilichonikuta na jikuta nakua imara mungu nimwema kunifanyajasiri muombe mungu yupo nawe usijali
2026-11-14 20:40:17
0
Sajida :
assalam aleiykum, kaka walah usikate tamaa sie wenyew hatujaolewa na tunataman ndoa leo kesho ila allah ajakadili.... Vumilia kama mm muombe muumba utapata inshaalah
2026-11-14 05:42:24
1
mine mummy 💖🤭 ♍️ :
Risk Yako ipo jipe muda bro najua iyo hali unayo pitia Mbn tupo wengii 💔🥹🥹
2026-11-13 20:37:16
1
Elicute🔥 :
usijikatia tamaaa mda Bado upo
2026-11-14 12:47:17
0
Restutah :
jaman
2026-11-14 18:56:20
0
cute baby :
mmm kumpata mtu sahihi kwakweli ni kazi maana kwasasa hakuna mtu wa kumuamini
2026-11-14 14:04:56
0
tiinnah🎀 :
pole kaka usiwaz sanaaa
2026-11-14 16:52:55
0
lilyner :
niko hapa mama ake na niko tayari kumpa furaha kama mama
2026-11-13 19:24:46
0
rashme :
pole sana
2026-11-14 19:18:06
0
Asma&🦋🦋🦋🦋 :
utapata tu jmn unaniliza
2026-11-14 20:08:50
0
Françine Nshimirimana :
poreee
2026-11-14 14:31:37
0
Ummy :
usikate Tamaa huwenda mwenyezimungu bado hajakujaalia wewe unaweza kumchagua ukaona huyu ndo yupo sahihi kumbe mola bado hajapanga
subiri allah atakuletea alokuwa na hery nawe
2026-11-14 12:02:11
0
ummyroga :
Pole sana Allah analina ilo ipo siku atajibu maombi yako nijambo la muda kaka
2026-11-14 09:09:28
0
felisterphentony@gma :
umechoka na nn jaman
2026-11-14 08:41:03
0
chimamy 🥰💞💫💯 :
SubhnaAllah 😪 😪 😪 ebu wacha kukata tamaa mbona waniliza ndipo jaman, allah akufanyie wepesi swali sana swala za usiku, istikar ,qiama leli hzo na dhikri nyingi InshaAllah allah atakufanyia wepesi na atakuletea mke mwema 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-11-14 08:13:12
0
Baba fey 🙏🙏🙏🙏 :
ndio maana niliamua nifute jinavla emmanuel na kuamua tu kujiita baba fey , cz hili ndio tumain langu pekee kwasas
2026-11-14 19:06:23
0
To see more videos from user @dungastar001, please go to the Tikwm
homepage.