@ali_wisdom: Mtu mwenye moyo safi mara nyingi huchelewa kutambua ubaya wa wengine, si kwa sababu hajui kinachoendelea, bali kwa sababu moyo wake haujazoea kuwaza vibaya. Huwaangalia wengine kwa usafi wa nafsi yake, huwaamini kwa namna anavyoamini yeye, na huwapenda kwa dhati. Ndiyo maana huumia sana anapogundua kuwa si kila mtu ana moyo kama wake. 💔 #creatorsearchinsight #viralvideo #foryou

ali_kim
ali_kim
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 20:38:24 GMT
3025
208
2
22

Music

Download

Comments

cali_omz
CAli🫶🏻Sharif Omar ba’alawy :
Alhamdulillah
2026-11-13 21:47:32
0
ibrahimsuleiman194
Ibrahim Suleiman :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-14 01:43:16
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About