@ironmbwetejr: Ktk wale mabondia wangu bora 3 nilio wapost last week Mmoja kati yao ni huyu apa King classic mawe.👊👊 Kwa matukio haya..hakika anastahili tumpe jina jipya..Je! tumuite nani wadau na mashabiki wa Ibrahim classic We live'n truth world wide 🌐 @BOXING KAZIKAZI PROMOTION @Twaha_Kiduku @Abdul ubaya🥊🥊
ironmbwetejr
Region: TZ
Friday 13 November 2026 23:06:50 GMT
Music
Download
Comments
user5569358243300 :
[Laugh approved]Haji tena bongo
2026-11-14 06:38:07
61
SIX SEVEN 🇹🇿🚭💔 :
daah ila watu kula zao wanazipata kwa mateso na maumivu xn Allah atujalie waja wake na atupe kila lakher inshallah
2026-11-14 06:09:14
63
Alfred Daud :
zinabondwa tu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-14 05:58:50
17
boy king 👑 kiba Bus driver👔 :
mbona anaonekana mdogo kwa ibra classc
2026-11-14 03:59:55
25
Ogybaraka :
munngu anakuona ibra
2026-11-14 05:57:14
24
man_turner :
camera man nae anamulika apo apo😂😂😂
2026-11-14 10:37:30
0
babyrey wa salim :
kwan walonyesha jana
2026-11-14 08:35:20
2
@mwenda mseya.tz :
🤣🤣😂😂😂😂☺️🤣🤣😂😂🤣 huyo ndiyo kaka yangu mimi. mhehe og call her IBRA class 🙌..
2026-11-14 06:21:11
4
davidseverin :
mchezo wa ngumi naacha
2026-11-14 14:50:00
0
CAPTAIN YU MOTOR'S :
camera man nae zoom yake eh🤣
2026-11-14 09:50:03
0
lapuga 10 :
nashidwa kuerewa
2026-11-14 10:56:02
0
Nuru Unstoppable 💕😜 :
Ibra Classic 🥰🥰🥰
2026-11-14 10:19:40
0
official N@@h :
kwan marudio lin
2026-11-14 05:57:15
1
Alex Fransis :
aliye shinda ninan mm jana sija angalia
2026-11-14 08:34:04
0
ummu sabra :
woooow
2026-11-14 11:04:57
0
Chadozi brand :
hatuchagui kaz nakbal kak mungu atacmama na ww
2026-11-14 05:40:13
7
Jenipher_unique :
alafu unaambiwa mchezo wa ngumi, mchezo au vita hii kuweni serious
2026-11-14 13:04:14
2
LECADET-145 -GAMER🎮🎮🇹🇿 :
huyo ndo atakuwa goat kweny masubwi sijawah ona huy jamaa kapigwa
2026-11-14 10:30:03
0
zuberi :
2026-11-14 07:41:44
1
Emie🫰 :
hiyo lini hiyoooo😂😂
2026-11-14 11:46:23
3
Cena :
unaonaje
2026-11-14 05:49:58
2
kiukweli ibra ni bora sana kuliko twaha bado sijaliona pambano lake la kumpa nyota hata
2026-11-14 08:04:57
1
Terrano Tz :
cameraman cameraman😅😅
2026-11-14 07:37:10
0
Elastico king👑👑 :
alijua Sisi tunatania Ibrahim Class kamfundisha kazi
2026-11-14 07:55:34
3
To see more videos from user @ironmbwetejr, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.