Wamezoea kuelekeza majaji wa mahakama za Tanzania wanafikiri huo ujinga watatumia kupangia mahakama za marekani 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-14 04:16:10
64
Gloria Mduma :
Mpare asie ogopa kesi
2026-11-14 04:40:30
10
NYANSABHO... :
shkamoo dada 🥰
2026-11-14 15:54:29
8
chodouhondo :
ngozi nyeusi tuna roho mbya sana dah
2026-11-15 08:10:18
13
zenaalmasi545 :
mungu akulinde dada mange
2026-11-14 03:02:38
36
makeo furniture :
dada mange uwe una tafsiri kila kipengele maana tz weng atujasoma atuelewi😅
2026-11-14 03:15:34
28
Mtoto wa mchungaji :
KHA!
BINTI MANGE JE UNGEKUWA KENYA
2026-11-15 05:13:04
1
Ginimbi Ginimbi :
Mama, kama angekuwa na busara na angekubali kwamba anatukosea sisi Watanzania, basi angeelewa hali ilivyo. Wakati akiwa Mangu, ulimpigia debe na kumuunga mkono yeye pamoja na watoto wake. Lakini sasa mambo yameenda tofauti kabisa. Sasa swali ni, tatizo liko wapi? Kwa kweli nilitegemea akuone kama mzalendo, badala ya hali ilivyo sasa.
2026-11-14 04:26:59
30
FREEDOM OF EXPRESSION :
mm sioni haja ya kesi hizo za visasi Tanzania ni nchi ya amani aisee waacheee
2026-11-15 17:27:00
1
Berton Ray :
nkupenda buree
2026-11-14 23:09:55
5
HON FATUMA RABAI 28 :
hi siz what happen with you ki afya
2026-11-15 18:39:03
0
🇫🇷 france :
wanadhani kila inchi inaongozwa kutumia mamlaka
2026-11-14 04:23:06
8
gordiusmasillago :
Mungu atakulinda na kukutia nguvu dada yetu mange 🤣🤣🤣🤣
2026-11-14 03:49:56
6
Rajabu Mrisho :
Sheria ya ukamataji imezingatiwa Sana hapo
2026-11-14 09:23:45
5
Idd Said :
mange tupopamoja
2026-11-14 18:05:16
5
wisperfect :
marekani siyo tz ile ni nchi yenye ulinzi kwa raia wake siyo mcheZo
2026-11-14 15:18:03
6
geroldi777 :
Huyu dada ni predictar mzur wa matukio yajayo
2026-11-14 22:23:36
3
manvet :
Tanzania haaito pata maendeleo tena ni laana 😂
2026-11-14 22:24:27
4
Tizzo-T :
Xxm wahakuwezi huna baya
2026-11-14 18:44:29
3
user177785400697993 :
YESU akulinde akushindie
2026-11-15 11:27:32
2
Tonny :
Mungu AKULINDE na AKUTETEE we love you so much... wewe ni mtetezi WETU ✍️✍️✍️🫶
2026-11-14 20:28:54
2
user4714306814122 :
dada mange na mm natamani kuja marekani because wanazingatia sana utu
2026-11-14 10:08:33
2
To see more videos from user @tescoltz, please go to the Tikwm
homepage.