@mohamedhafidh_tz: UNAJUA UNAWEZA KUTUMIA AI MOJA KWA MOJA KWENYE WHATSAPP STATUS YAKO? 😍🔥 WhatsApp ina kipengele cha Meta AI kinachokuwezesha kutengeneza na kuhariri picha kwa kutumia Artificial Intelligence (AI), bila hata kutoka ndani ya WhatsApp! Katika video hii, sehemu ya kwanza, nimekuonesha jinsi ya: ✅ Kufungua Meta AI kupitia sehemu ya Status. ✅ Kutengeneza picha mbalimbali kwa kutumia AI. ✅ Kuchagua picha na kuiboresha kupitia AI. ✅ Kutumia maandishi (prompts) kuelekeza AI kufanya mabadiliko unayotaka. Hiki ni kipengele kizuri sana ambacho kinaweza kubadilisha namna unavyotengeneza na kushare Status zako. 🤯 📌 Usikose sehemu zinazofuata, kwa sababu bado kuna mambo mengine mengi ya kuvutia kuhusu Meta AI ndani ya WhatsApp! 💬 Je, umeshawahi kutumia Meta AI kwenye WhatsApp yako? Tuambie kwenye comments. 📲 Follow @mohamedhafidh_tz kwa tutorials zaidi za WhatsApp na teknolojia. #whatsapp #metaai #whatsapptips #artificialintelligence #fyp
asante sana kaka unatufunza vizur naomba unielekeze jins yakutranslate kiswaili kwenda kiarabu kwenye wasap pind ntakapoandika meseji kabla sijaisend iwe yakiarabu ndio nisend
2026-11-14 05:45:13
2
user5816158277857 :
sa
2026-11-14 09:03:28
2
manuu :
jinsi ya kuiondoa IA kwa Whatsapp
2026-11-14 11:49:23
0
hawayAlliy :
mbona yangu haina hiyo Ai
2026-11-14 17:49:01
0
Dalali Muaminifu :
🙏🙏🙏
2026-11-14 12:50:30
1
FYADE KAMA FYADE :
:Inauma sana mtu unampa umuhimu kwenye maisha yako ila yeye hajali, imagine mama wa mihogo hajafungua leo😢
2026-11-14 10:47:47
1
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm
homepage.