@samoltv_: Sheikh Nurdin Mohamed Ahmed @sheikhnurdeenkishk ametoa wito kwa wananchi kutowapokea wala kuwapangisha watu anaowatuhumu kujihusisha na ushoga na usagaji, akieleza kuwa kufanya hivyo ni kwenda kinyume na mafundisho ya dini ya Kiislamu. Akizungumza kuhusu suala hilo, Sheikh Kishki amerejea Hadithi ya Mtume Muhammad (SAW) inayohusu watu wanaofanya vitendo hivyo na kuhusisha kauli hiyo na wito wa kuwafukuza watu hao katika makazi. “Tusiwapokee, tusiwapangishe, tuwatimue katika majumba yetu. Watatuletea laana, watatuletea balaa,” alisema Sheikh Kishki. Amedai kuwa msimamo huo unatokana na mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW), akirejea Sahih al-Bukhari, Hadithi namba 5886.
Samol Tv_
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 05:50:21 GMT
Music
Download
Comments
Da zuu😍 :
Allah akbar aitikie maneno yako Shekhe Wetu kimbilio na Waisilam
2026-11-14 17:09:17
3
Zama mwagara :
paza sauti sheeeeee
2026-11-14 14:45:24
2
user4618832654782 :
Sio kweli amna hadithi iyo yakuwafukuza
2026-11-14 16:35:36
0
rehema othuman :
sanaaa sheekhe wetu
2026-11-14 14:41:44
0
Mohammed Al omary :
Subhannallah.
2026-11-14 17:49:41
1
Mamu :
Pasua.baba pasuaa
2026-11-14 17:04:09
1
user2372782695411 :
takbirrrrrrŕrrŕŕrrrrrrrrr
2026-11-14 14:53:13
1
saidi :
alhu akbar
2026-11-14 16:28:06
1
ummu yasser :
innalilah waina ilaih raajiun ALLAH atuepushie Wana wetu yarabi
2026-11-14 19:10:00
0
Da b.m tz🇹🇿🌹 :
Wallah sheikh unajitahid lkn nchi yetu Haina uongoz kwakweli Allah awape nguvu mashekhe wetu
2026-11-14 19:15:01
0
hawa :
Allah akubarki shekhe wetu
2026-11-14 16:56:27
0
Rashdidah💋 :
Allahu Akbar
2026-11-14 14:30:51
1
Mama naa :
ni kweli kabisa uliyoyasema.mungu tustir ss na vizazi vyetu na mabala haya yaliotuingilia dunian
2026-11-14 16:28:05
0
Said Namata :
hakika
2026-11-14 16:28:40
0
Hakizimana :
Allah. akbal
2026-11-14 18:20:00
0
Sharifu Idrisa :
mashalwa
2026-11-14 14:43:15
0
abalhakam :
kweli shekhe
2026-11-14 15:40:16
0
ummu yasser :
kabisa
2026-11-14 19:06:51
0
Mubashir Hassan :
sahh imam sheikh nurdin kishk
2026-11-14 16:17:15
1
Idrisa Idrisa said :
khaswa
2026-11-14 21:54:13
0
shaka zedoni :
tuazieni kinondo niwamejaa sanajani
2026-11-14 19:42:58
0
Akramu Mohammed :
🥰🥰🥰
2026-11-14 10:02:49
0
RASHIDI @PATRICK :
🤲🤲🤲
2026-11-14 13:52:40
0
Chichi Jr :
🥰🥰🥰
2026-11-14 08:51:00
0
MAGEMU🎮 :
💯💯💯
2026-11-14 14:50:41
0
To see more videos from user @samoltv_, please go to the Tikwm
homepage.