@black..heart43: #sadness#heartbroken #lovestory #foryoupage #trendingposts

𝑺𝒂𝒅 𝑾𝒐𝒓𝒍𝒅 ...🖤
𝑺𝒂𝒅 𝑾𝒐𝒓𝒍𝒅 ...🖤
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 06:15:51 GMT
25669
1561
44
111

Music

Download

Comments

user9922065819036
sophi :
hata mm sina na
2026-11-14 11:13:43
5
goma.morah12
SHIGERA 469 :
🥲😭rest in peace daddy I miss you more
2026-11-14 21:07:48
1
sandra.massawe
Sandra Massawe :
daaa sina cha kuongea zaidi maisha haya ni Mungu tuuuu
2026-11-14 19:55:43
2
neviah913
-Girl🌸🎀🩵- :
Na ameshafariki😭😭💔 maisha bhna n fumbo nilikua nasem ipo sku kumbe mungu nae anasem hiv karibun REST IN PEACE DADDY
2026-11-14 20:54:13
2
lailatinurdini1
Laila💍💞💞💞 :
daaah hata mie sina baba angu aliniacha nikiwa bado nipo la nne 2017 mungu akupe kauli thabiti baba angu🥹😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-14 14:29:04
5
shamsa.lovy
Shamsa Lovy :
picha yamwisho yababa angu kuiona nisiku amelala kweny jeneza🥺
2026-11-14 20:47:09
1
kingvirus0922
꧁꧂༒YAKUZA༒𝔹𝕌𝔾༆ ꧁꧂ :
ht mimi
2026-11-14 12:03:44
1
tatu.kali
tatu :
uhakikaaaa🥺🥺🥺
2026-11-14 09:42:50
1
cheumag03
CHEU MAGE😜 :
Baba
2026-11-14 11:25:15
1
rajabukebby1
raj :
daah baba yake raj allah akufanyie wepesi inshaallah
2026-11-14 22:18:45
0
kaneza08
igiraneza anny dorcas :
mimi sijui ako wapi 🥹💔🥹
2026-11-14 22:19:47
0
globaby317
miss makyao 🎀💫 :
mim hata sijawahi kumshuhudia kwa macho REST IN PEACE 🕊️DADY 💔
2026-11-14 21:17:58
0
angelmalaika215
Angel malaika :
jaman hata mem cina kaniacha nkiwa 4yrs mwenyez mungu amlinde huko aliko
2026-11-14 20:59:25
0
da.cutee.og
It’s Da Cutee 🫦 :
Naa nlipanga kabisa nikurudi home nampigisha pamba alafu tunaenda zetu photo shoot 💔lakini ndoto yangu haikutimia aliondoka hata kabla ya mmi kwenda 🥹💔💔 endelea kupumzika baba ilaa nakumiss sana utani wakoo hasa sahuti yako 🙌🤲 kama una baba ndugu zangu watunzeni sana sana haya maumivu uwezi kuyaelewa mpaka pale yatakapo kukuta 😖🥺💔
2026-11-14 20:09:52
0
octavian.a.tz
octavian muhigilwa :
daah
2026-11-14 21:16:38
0
officially.rauhiya
RAUHIYA 🎀 :
Bora picha mie alinambia nimsubil atalud na akaenda kufa ko bado Nipo dunian Ila yey Ndo ananisubili 🙇‍♀️😭one day ntakutana nae na kumueleza nimepitia mengi magumu pasipo yeye
2026-11-14 18:56:39
0
muhammed.omar67
Muhammed omar :
nashkr sana mungu kwa kunip baba na mama mungu wape maisha marefu naukiwachukuwa wape mwisho mwema inshallah
2026-11-14 19:11:46
0
iam0kay38
I am Okay 🥹💔 :
daah😭😭😭
2026-11-14 13:22:56
0
futureking687
@Thea king E.Ⓜ️ :
kumbe tuko wengi😭
2026-11-14 18:29:05
0
midekoh255
DA WARDA :
baba☺️☺️
2026-11-14 18:24:08
0
user8013650797857
Gianna🫦❤️ :
huyo ni mimi😭😭😭😭
2026-11-14 18:54:52
0
availabley789
Momosh🥰 :
Allah amrehemu bbangu kipenzi 🥰🥰
2026-11-14 22:47:40
0
tsutsanga
TDM :
uko kama mimi ila tena iko hayi na siza mu ona hâta kwa sura 😭😭😭
2026-11-14 18:34:26
0
user1975259119530
[email protected] :
Asante sana mwenye zi Mungu kwakunipa baba aneye nijali
2026-11-14 18:31:40
0
neema.548
Neema mbuya :
daaa
2026-11-14 14:10:51
0
To see more videos from user @black..heart43, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About