@omari_koge21: Dereva wa basi la kampuni ya Shigaka Luxury, Sefu Saidi, amejikuta matatani baada ya kubainika kufanya kosa la kupita gari jingine bila kuzingatia taratibu na sheria za usalama barabarani, kitendo kilichokaribia kusababisha ajali na kuhatarisha maisha ya abiria pamoja na watumiaji wengine wa barabara. Tukio hilo limebainika katika operesheni maalumu ya ukaguzi wa vyombo vya moto inayofanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, chini ya uongozi wa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa huo, SSP Yusuph Kamotta. Katika hatua ya awali, Kamanda Kamotta alianza kwa kumpa dereva huyo elimu ya usalama barabarani, akimweleza madhara yanayoweza kusababishwa na uzembe wa madereva wanapokiuka sheria na taratibu za barabarani. Baada ya kupewa elimu hiyo, Sefu Saidi alikiri kufanya kosa hilo na kuahidi kutorudia tena tabia ya kuendesha gari kwa namna inayoweza kuhatarisha maisha ya abiria anaowasafirisha pamoja na watumiaji wengine wa barabara.
OMARI_KOGE
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 06:21:59 GMT
Music
Download
Comments
GUMAD :
amna kitu
2026-11-14 09:35:51
0
Officials Dizzo :
afande anataka sifaa
2026-11-14 17:45:41
0
yaan uko kama Mimi awa ndio Tanzania tunayo itaka Amanda kazi zuri sana naomba namba Yako mkuu japo Sina uwezo naten apa japo ni ndogo elim unayotoa na onyo daaaa at ukiniandikia siwezi lalamia kamanda salutiiiiiiiiiiiii
2026-11-14 08:23:45
3
Joh Jo :
daah...!!! huyu afande ndo ananifanya nizidi kuendelea kutamani hii kazi... naipenda kinoumaa yaani, 😢😢 ni vile tu uwezo wa kuifikia sina...
RESPECT Afande, naqbali sana 🫡🫡🫡
2026-11-14 06:44:58
2
Msuya 04 :
Sefu wa Arusha express
2026-11-14 09:06:41
0
Tatu Hamza :
katika watu wanaongoza Kwa ajali Kwa uzembe ni madereva bus
2026-11-14 10:43:50
0
MR_POJO :
seif pole kaka
2026-11-14 11:43:06
1
PJ Mushy :
Vitu vingine vyakibinadamu vyakumpa onyo elimu uliompa hapa inatosha sio kumshikia bango...Eti chukua tarifazake maelezo yake aende harudi kama hapo sio inatengenezwa njia ya kupokea kanamna sio poa ,kaomba msamaha angesamehewa tu na kupewa elimu sio kureport kwa hatua🙂↕️
2026-11-14 11:05:45
0
zulupher :
matusi ya nn tena
2026-11-14 17:16:08
0
GAME BUS STORE™ :
Daaah mbona shigaka ni hizi mpyaa kabisa
2026-11-14 10:38:08
0
kanimambo1 :
Afãnde Smart
2026-11-14 10:01:27
0
kwani ukiona afande mbele ndo unatii sheria au sheria ipoje
2026-11-14 09:12:36
0
Wiliam Mboya :
tukisema madereva wamabasi hawako makini barabarani mnaona hatupendani
2026-11-14 09:27:40
0
SCAUC :
2026-11-14 10:34:44
0
I am__pluto :
daaah sefu 🇨🇮 asamehewe
2026-11-14 10:30:29
0
SCAUC :
afu haya cndo mapyaa ya juzi tuu
2026-11-14 10:34:28
1
user3314121227093 :
sefu saidi wa arusha express dereva mwenye fujo bara baran afande mwandikie fain. alafu ana dharau kweli uyu dereva
2026-11-14 10:13:21
0
Nenga Tronix🦺 :
awaa jamaa wanasifa sanaa sasaa kuna mtu anapenda ajalii
2026-11-14 10:03:00
0
Mendez05 :
Anataka kuharibu brand ya shigaka luxury huyu msela
2026-11-14 09:46:09
0
Mouser VanT :
uyo alichachawa kaona KATARAMA ipo mbele uyo
2026-11-14 08:59:01
0
Ramadhani Kirungi :
juzi Askl wa singida aliovatek kwenye sehem ambayo haimluhusu Mimi naluhusiw nimekutana naye katikati ananiambia nilitaka kumuwaaa wakat yeye ndio alikuwa na makosa ila vyeu hiv walitaka kuniweka ndani
2026-11-14 10:13:25
0
To see more videos from user @omari_koge21, please go to the Tikwm
homepage.