Kila mtu abaki na ndoa yake😂😂😂mimi hajabadilika 14years
2026-11-14 11:08:46
74
MSABATO MAGARI :
et totally are different man[Tears of joy]
2026-11-14 16:50:52
4
Jonisia Felix :
Ila kwa kina ndoa🙌🙌
2026-11-14 10:45:01
34
Anna :
Ila Kwa Wana Ndoa Mh Mungu Tusaidie Sis Ambao Tunatlajia kuingia Miaka ijayo Utupe Uvumilivu Wa kuvumilia Chang moto Tutakazo Kutana nazo 🥹
2026-11-14 14:01:52
19
highness 330 :
mbona wangu hajabadilika 27 years ni zaidi kaneneoa tu
2026-11-16 10:02:53
1
musadickson8 :
nashauri wasiolewe wala kuoa
2026-11-14 10:42:13
8
urioaunt135 :
I believe nobody is perfect, maisha nikuvumiliana
2026-11-15 10:54:43
3
Elizabeth Isack :
hiyo taasisi Haina mwenyewe tumwachie MUNGU
2026-11-15 07:44:34
11
Angel G Davis :
wangu na enjoy bana
2026-11-14 19:00:54
4
Mr Bicchoalpha (Heshivani EL) :
Maisha ya ndoa hayana vipindi ila dhambi ndio inabadili kanuni ya uumbaji wa Mungu.Kanuni ni kutii na kupenda,ila dhambi ikishaingia mambo yanabadilika uhusiano kati yako na viumbe wengine unapotea,uhusiano wako na mwenza wako unageuka kuwa lawama na maumivu.
2026-11-19 12:56:17
0
phales chisele :
Hahahahah duuuuh Aya bwan
and it's true we have seen a lot of changes exactly
2026-11-16 08:48:10
1
LOVE..FAMILY❤️❤️ :
yaani wengi wanaokoment ni wanawake na kwenye kuvumilia wanashauriwa wao tu kuwavumilia waume zao ila akikosea hilo kosa mwanamke husikii mume akiambiwa avumilie mkewe ....
2026-11-20 07:03:01
1
MTURUKI from singapal :
kweli kabisaaa jaman8
2026-11-19 12:21:26
1
Rooney Kiwelu :
Ndoa jambo jema jaman, msihoji wenye maumivu wanapotosha wengine.
2026-11-14 12:51:49
8
lucymwinami34 :
hakika sio yeye kabisa
2026-11-15 09:03:30
2
macky15maggie :
me namwelewa huyu dada
2026-11-16 10:58:47
1
pendo :
kabsaa
2026-11-17 04:22:54
2
mariam hansuli@tz :
kama hujaolewa huwezi kumwelewa rose
2026-11-15 13:45:20
1
JMB Investments Limited :
Kweli hii taasisi ya ndoa haina mjuaji haina cha mchungaji wala shehe aisee sio Mchezo hii Taasisi Mungu pekee ndie anatusaidia.
2026-11-15 16:42:41
1
G.. :
Taasisi ngumu sana nitawaambia wanangu ukweli,,wengi wanacheka ila moyoni wanalia
2026-11-15 05:42:30
1
jamila :
true
2026-11-14 09:09:14
2
user9836371385458 :
sanatu
2026-11-14 09:21:22
2
MK🇹🇿🇳🇱 :
2026-11-14 09:12:07
1
instructorkinokok0 :
tufanyeje sasa
2026-11-14 09:51:02
1
To see more videos from user @newjerusalem.tv, please go to the Tikwm
homepage.